Home Dauda TV Zahera Mwinyi aitaka Simba ishinde ubingwa SportPesa

Zahera Mwinyi aitaka Simba ishinde ubingwa SportPesa

4078
0

Wawakilishi wawili wa Tanzania kwenye michuano ya SportPesa iliyoanza leo wamefungishwa virago baada ya kupoteza michezo yao waliyocheza leo. Singida walifungwa 1-0 na Bandari (Kenya) huku Yanga nao wakapoteza mechi yao kwa kufungwa 3-0 na Kariobangi Sharks (Kenya).

Kesho kutakuwa na michezo miwili ya SportPesa Cup ambapo Tanzania itawakilishwa na timu mbili, Mbao vs Gor Mahia saa 8:00 mchana wakati Simba yenyewe itacheza na AFC Leopards saa 10:00 jioni.

Kocha wa Yanga Zahera Mwinyi baada ya timu yake kutupwa nje ya mashindano, ameitakia kila la heri Simba iwakilishe vizuri Tanzania katika mashindano hayo ili kuzuia aibu kwa vilabu vya Bongo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here