Home Dauda TV Zahera afunguka baada ya kuonja machungu ya msimu

Zahera afunguka baada ya kuonja machungu ya msimu

4917
0

Kocha mkuu wa Yanga Zahera Mwinyi baada ya Stand United kuwa timu ya kwanza kuifunga Yanga msimu huu amesema hajaona kitu cha ajabu kilichofanywa na wapiga debe zaidi ya kuitumia nafasi moja waliyopata.
.
“Hakuna kitu cha ajabu sana walichofanya Stand United, wamepata nafasi moja wameitumia”-Zahera Mwinyi, kocha Yanga SC.

Zahera amesema pia mvua iliyonyesha Shinyinga ilisababisha uwanja uwanja kutereza na kupelekea kubadili mbinu za mchezo na kuamua kutumia mipira mirefu.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here