Home Kitaifa Yanga mechi 3 imeambulia pointi 2

Yanga mechi 3 imeambulia pointi 2

3674
0

Yanga imecheza mechi tatu za ligi kuu bila kupata ushindi, tangu ilipopoteza kwa mara ya kwanza mchezo wa ligi kwa kufungwa 1-0 na Stand United uwanja wa Kambarage Shinyanga imeshindwa kushinda mechi nyinge mbili.

Katiba pointi tisa (9) imeambulia pointi mbilli (2) na kupoteza pointi saba (7). Iliachia pointi zote tatu kwa Stand Unite, akaacha pointi mbili kwa Coastal Union na jana imedondosha pointi mbili nyingine mbele ya Singida United.

Yanga imeshindwa kupata ushindi katika mechi nne zilizopita za mashindanonyote, baada ya kuchapwa na Stand United ilipoteza kwa kufungwa 3-2 na Kariobangi Sharks ya Kenya kwenye michuano ya SportPesa 2019.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here