Home Dauda TV Utabiri wa Zahera Mwinyi kuelekea AS Vital vs Simba

Utabiri wa Zahera Mwinyi kuelekea AS Vital vs Simba

5019
0

Kocha wa Yanga Zahera Mwinyi anasema game ya kesho Jumamosi AS Vita vs Simba itakuwa ni 50/50.

Zahera anasema soka la siku hizi hakuna timu ndogo, na haijalishi ni ugenini au nyumbani, timu yoyote inaweza kupata matokeo popote.

Full interview tayari ipo #YouTube kupitia #DaudaTV unaweza kuangalia kwa kubofya play hapo chini.

Kwa mtazamo wako unadhani game ya kesho #ASVitaVsSimba itakuwaje?

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here