Home Dauda TV Unyama wa Rabbin Sanga wapagawisha Uturuki

Unyama wa Rabbin Sanga wapagawisha Uturuki

3768
0

Kipaji, jitihada na njaa ya mafanikio ndio vitu vinavyomfanya Rabbin Sanga aendelee kuwashangaza walimu wa soka wa kituo cha Besiktas Academy kwa namna anavyobadilika kila uchwao.

Siku yake ya tatu amekua mchezaji aliyekimbia umbali mrefu huku akigusa mpira mara nyingi kuliko wachezaji wenzake hali iliyowapa moyo sana wafadhili wa safari yake kampuni ya Beko kupitia mwakilishi wake barani Afrika Llewellyn Patrick ambaye yupo Istanbul kumfuatilia.

Kupitia #YouTube ya #DaudaTV unaweza kuanga unyama wa Rabbin Sanga hapa chini akiwa kwenye majaribio yake siku ya tatu. Bofya PLAY kuangalia video hiyo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here