Home Kitaifa Ulinzi Yanga Morogoro usipime!

Ulinzi Yanga Morogoro usipime!

4276
0

Unaambiwa ulinzi wa Yanga huko Morogoro si wa mchezomchezo, hakuna watu wanaoruhusiwa kusogea mazoezini pamoja na kambini.

Mechi ya Simba na Yanga inamambo mengi, kwa hiyo lazima tuchukue tahadhari kuhakikishaJumamosi tunapata matokeo”-Edward Mhagama, Katibu wa matawi Morogoro.

“Hii ni hali ya kawaida hata kule kwa wenzetu (Simba) hali ni kama hii, wao hawataki watu na sisi hatutaki watu.”

Mhagama aliipokea Yanga mkoani Morogoro tangu Jumatatu na kwa mujibu wa kocha wa Mwinyi Zahera, timu itaingia Dar leo jioni kwa ajili ya mchezo wa Jumamosi.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here