Home Ligi EPL Uchambuzi kuelekea Manchester City Vs Everton,

Uchambuzi kuelekea Manchester City Vs Everton,

4024
0

Mchezo huu utapigwa katika dimba la Etihad Stadium, majira ya saa 15:30 jioni.
.
.
Katika michuano yote Manchester City, dhidi ya Everton, wameshinda michezo miwili katika michezo saba waliyokutana sare 3 amepoteza mara 2 pia kwenye michezo hii mchezo moja tu ndo uliyomalizika bila ya kufungana kwa maana ya 0-0 mnamo mwezi Januari mwaka 2016.
.
.
Everton, katika michezo mitatu dhidi ya Everton, katika uwanja wa Etihad, kwenye ligi kuu imeisha kwa sare pia kwenye michezo hiyo yamefungwa mabao manne tu.
.
.
Manchester City, hawajapoteza mchezo hata moja dhidi ya timu ambazo zipo nje ya vilabu sita vya juu mara ya mwisho alitoa sare na Everton, mnamo mwezi Januari, mwaka 2017.
.
.
Manchester City, hawajawahi kupoteza michezo miwili mfululizo ya ligi kuu England, mara ya mwisho kupoteza michezo miwili mfululizo ilikuwa mwezi Desemba mwaka 2016 dhidi ya Leicester City, na Chelsea.
.
.
Manchester City, wameshinda michezo tisa katika uwanja wa nyumbani kwa jumla ya mabao 33-6.
.
.
Manchester City, wameshinda asilimia 50 katika ligi kuu dhidi ya Everton, chini ya Pep, katika michezo minne ushindi mara 1 sare 1 amepoteza mara 2.
.
.
Chini ya Pep, City wamefunga mabao 7 katika ligi kuu dhidi ya Everton.
.
.
Toka msimu uliopita Rahim, amehusuka kwenye upatikanaji wa mabao 26 Katika michezo 21 ya ligi kuu kwenye uwanja wa nyumbani amefunga mabao 17 na assist 9.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here