Home Kitaifa Uchaguzi Yanga palepale

Uchaguzi Yanga palepale

3414
0

Mipango ya uchaguzi wa kuziba nafasi ndaninyabYanga inaendelea kama kawaida ambapo uongozi wa klabunl hiyo umetaja majina ya baadhi ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi.

Kaimu Makamu Mwenyekiti Siza Lyimo
amesema wanatarajia kuanza mchakato wa uchaguzi maranbaada ya kuwapa taarifa wajumbe hao.

“Mwanzoni tulikuwa na kamati ambayo ilionekana inamapungufu baadaye baada ya sisi (viongozi) kukutana na tulikubaliana na wenzetu kamati ya uchaguzi ya TFF na uongozi wa TFF, Baraza na Michezo na Mkurugenzi wa Michezo kwa kushirikiana na Waziri ili kupata Kamati mpya itakayoungana na wenzetu wa TFF ili kufanya utaratibu wa uchaguzi na mchakato kwenda kwa wakati.”

“Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ni Venance Mwamoto (Mbunge), Katibu wake ni Seif Gulamali (Mbunge wa Igunga) na wajumbe wengine wawili.”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here