Home Ligi BUNDESLIGA Tiketi ya Bombadia: Fahamu miamba iliyotikisa kombe la dunia

Tiketi ya Bombadia: Fahamu miamba iliyotikisa kombe la dunia

9655
0

TUFAHAMU MAMBO HAYA KUELEKEA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA.

Na Aziz -Mtambo
Zikiwa zimebakia siku 15, kuelekea michuano ya kombe la dunia itakayofanyika nchini Urusi, hapo Mwezi ujao. Basi tujikumbushie michuano ya kombe la dunia iliyofanyika Mwaka 1930, ikiwa ndo kwa mara ya Kwanza kuanzishwa michuano hiyo na ikiwa ndo nchi ya Kwanza kufanyika michuano hiyo kwa bara la Amerika Kusini.

Michuano hiyo jumla yalifungwa mabao 70 katika michuano hiyo ikiwa ni idadi ndogo zaidi katika historia ya michuano hiyo ilipoanzishwa kutokana na uchache wa timu zilizoshiriki na michezo michache.
Timu zilikuwa 13, na mechi zilichezeka 18, kwa maana hiyo ilikuwa hakuna hatua ya 16 bora wala robo wala iyakayopita pita hatua ya makundi moja kwa moja inafuzu nusu fainali ya michuano hiyo.

Hatua ya makundi yalifungwa mabao 50, hatua ya nusu fainali yalifungwa mabao 14 na fainali yalifungwa mabao 6.

Mfungaji bora wa michuano hiyo alikuwa ni Guillermo Staibile, kutoka Argentina akiwa na mabao 8.jumla ya watu waliodhuriwa michuano 590,549.

Timu zilizocheza michezo mingi zaidi.

Timu. Michezo. Ushindi. Sare. lose.

Brazil. 104. 70. 17. 17
Germany. 106. 66. 20. 20.
Italy. 83. 45. 21. 17
Argentina. 77. 42. 14. 21
Spain. 59. 29. 12. 18

Wachezaji waliocheza michuano mingi zaidi.

Antonio Carbajal, kutoka Argentina, Mwaka 1950, 1954, 1958, 1962, 1966.

Lothar Matteus, kutoka Germany, Mwaka 1982, 1986, 1990, 1994, 1998.

Gianluigi Buffon, kutoka Italy, Mwaka 1998, 2002, 2006, 2014.

Nilton Santos, kutoka Brazil, Mwaka 1950, 1954, 1958, 1962.

Castilito, kutoka Brazil, Mwaka 1950, 1954, 1958, 1962.

Mwaka 1930, ubingwa huo wa kombe la dunia alitwaa Uruguay, kwa kumchapa Argentina, mabao 4-2.

una mawazo yoyote

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here