Home Kimataifa Takwimu za Van Djik ndani ya Liverpool

Takwimu za Van Djik ndani ya Liverpool

4045
0

Wikiendi iliyopita Beki wa Liverpool Virgil Van Dijik, alitimiza mechi ya 50 tangu ajiunge na Liverpool Januari mwaka jana.

Tuangalie takwimu zake tangu ajiunge na miamba ya Anfield.

Liverpool bila huduma ya Van Dijik:

Mechi 50
Ushindi Mara 26
Sare mara 15
Kupoteza, mechi 9
Asilimia ya ushindi 52%
Liverpool imeruhusu magoli 57
Imecheza mara 18 bila kuruhusu goli

Liverpool ikiwa na Virgil Van Dijik

Mechi 50
Ushindi: 33
Sare: 7
Kupoteza mara 10
Asilimia ya ushindi: 66%
Imeruhusu magoli 41
Imecheza mara 24 bila kuruhusu goli

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here