Home Kimataifa Takwimu kuelekea Simba vs AS Vita

Takwimu kuelekea Simba vs AS Vita

5369
0

Simba ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania bara, imecheza mechi 20 na kufanikiwa kuvuna pointi 51, ipo nyuma kwa mechi 7 dhidi ya timu inayoongoza ligi (Yanga). Katika mechi 20 imeshinda 16, sare 3 na kupoteza mechi 1.
.
.
Matokeo ya Simba kwenye mechi 5 zilizopita (Ligi kuu Tanzania bara na Champions League).
.
African Lyon 0-3 Simba
Azam 1-3 Simba
Lipuli 1-3 Simba
Stand United 0-2 Simba
Saoura 2-0 Simba
.
.
AS Vita Club inaongoza ligi yenye timu 16 ikiwa imecheza mechi 23, imeshinda michezo 20, sare 2 na kupoteza mchezo mmoja. Ina pointi 62.
.
.
Matokeo ya Vita Club kwenye mechi 5 zilizopita (Ligue 1 na Champions League)

Vita Club 2-0 AS Dragons
Saint Eloi Lupopo 1-2 Vita Club
Via Club 3-0 Maniema Union
Vita Club 3-0 TP Mazembe
Vita Club 1-0 Al Ahly

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here