Home Dauda TV Stamina anakwambia Simba wanakula 5

Stamina anakwambia Simba wanakula 5

3935
0

Kumbe mkali wa BongoFleva Stamina ni Yanga wa kulialia lakini wakati anacheza soka aliwahi kucheza na Mkude na Kichuya ambao baadaye walijiunga na Simba.

Stamina amesema game ya kesho atakuwepo uwanjani kushuhudia derby ya watani wa jadi #YangaVsSima.

Angalia video #YouTube hapo chini👇kupitia #DaudaTV ukutane na STAMINA anavyotiririka kuelekea game ya Yanga vs Simba. Bofya PLAY▶uangalie video mwanzo mwisho.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here