Home Kitaifa Singida yaichezea Yanga mchezo mchafu

Singida yaichezea Yanga mchezo mchafu

3438
0

Ianaelezwa kuna mchezo unafanyika kwenye ishu ya Singida kuwatumia wachezaji na kocha msaidizi ambao hawajalipa faini ambayo ni adhabu waliyopewa na Kamati ya saa 27 kwa makosa mbalimbali.

Inasemekana Singida United wameambiwa waandike barua Bodi ya Ligi kwamba waliomba fedha za faini wanazodaiwa wachezaji na koha wao msaidizi zikatwe kwenye mchezo wao wa jana (Singida United vs Yanga).

Kwa maelekezo waliyopewa Singida United barua hiyo inatakiwa ionekane iliandikwa siku kadhaa zilizopita (backdate) na ilitumwa kabla ya mechi ya jana!

Singida iliwatumia wachezaji na kocha msaidizi ambao waliahibiwa kukosa mechi tatu na faini ya Tsh. 500,000. Wachezaji na kocha wao walitumikia adhabu ya kukosa mechi tatu lakini hawajalipa faini kwa hiyo Yanga wanataka pointi tatu.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here