Home Dauda TV Simba yawafuata waarabu Misri

Simba yawafuata waarabu Misri

3478
0

Wachezaji wa Simba, benchi la ufundi na baadhi ya viongozi wamesafiri leo kwenda Alexandria, Misri kwa ajili ya mechi yao ya #CAFChampionsLeague hatua ya makundi dhidi ya Al Ahly.

Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa Jumamosi February 2, 2019. Kila la heri Simba🇹🇿🇹🇿

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here