Home Dauda TV Shabiki wa Yanga aliye-bet mke amwaga machozi hadharani

Shabiki wa Yanga aliye-bet mke amwaga machozi hadharani

5105
0

Jamaa anaitwa Jimmy aliahdi kukaa uchi Kariakoo huku pia akiwa kaweka ahadi mkewake achukuliwe na shabiki wa Simba endapo Yanga itafungwa.

Yanga imepasuka 1-0 mbele ya Mnyama, jamaa anamwaga chozi akifikiria ahadi zake.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here