Home Kimataifa Sergio Ramos hawezi kumsahau Perez

Sergio Ramos hawezi kumsahau Perez

7876
0

Ukisikia “¡¡Que huevos tiene Rrrrraaaaaamoooooooossss!!”

“What balls Rrrrraaaaaamoooooooossss has!”

Jua Ramos kashafanya yake. Jana Ramos amebeba tuzo ya mchezaji bora wa safu ya ulinzi wa Ulaya. Kioja kilichosambaa mtandaoni ni kwa namna Ramos alivyomshika Salah bega. Inawezekana Ramos alitaka kumsalimia lakini akagundua kuwa Salah yupo bize na mambo yake. Sakata la Ramos na Salah wemgi walilikuza sana kiasi cha kumfanya Ramos akasirike.


Tuachane na hayo.

Siku kama ya leo miaka 13 iloyopita Klabu ya Real Madrid, ilimsajili Sergio Ramos, kutoka klabu ya Sevilla. Ramos amechezea Real Madrid, michezo 393 na kafunga mabao 54.

Ni mmoja kati ya mabeki bora kuwahi kutokea ndani ya Real Madrid na hata la liga kwa ujumla. Hivi majuzi aliisaidia Madrid kutwaa taji lake ya 13 ikiwa ni taji la 3 mfululizo la uefa na taji lake la 4.

Alinzia maisha yake ndani ya klabu ya vijana ya Sevilla.

Vijana
1996–2003 Sevilla
Wakubwa
Mwaka Timu M G
2003–2004 Sevilla B 26 (2)
2004–2005 Sevilla 39 (2)
2005– Real Madrid 393 (54)

Baada ya kufanya vizuri ndani ya Sevilla kwenye kikosi cha vijana Ramos moved alisajiliwa na klabu ya Madrid mwaka 2005. Tokea wakati huo ameshinda mataji makubwa 19 na kuweka rekodi ya kuwa beki mwenye mabao mengi zaidi ndani ya la liga.


Wafungaji bora UEFA.

Roberto Carlos 16
Iván Helguera 15
Dani Alves 12
Gerard Piqué 12
Christian Panucci 11
Sergio Ramos 11

Ramos ameshinda La liga 4 na UEFA Champions League mara 4. Atakumbukwa sana kwa bao lake la dakika ya 93 kwenye fainali ya uefa mwaka 2013–14.


Ramos anashikilia nafasi ya 5 kwa mabeki wenye mabao mengi duniani.

Laurent Blanc (146)

Eric Cantona, Roger Milla na Olivier Giroud waliichezea Montpellier, lakini Blanc ndiye mfungaji bora wa klabu hiyo akiwa na mabao 77 kwenye michezo 251alipichezea tokea mwaka 1983 mpaka 1991. Alikuwa mpiga faulo mzuri na mabao yake mengi yamepatikana kwa penati

Franz Beckenbauer (108)

Beckenbauer wengi wanasema kwa soka la kisasa hakuwa mlinzi kutokana na aina yake ya uchezaji. Ni mmoja kati ya wachezaji wenye heshima kubwa sana duniani.

Sinisa Mihajlovic (105)

Mihajlovic alikuwa mkali wa faulo. Alifunga faulo 10 kwa taifa lake kabla ya kutundika mabao 61 kwenye vilabu vinne tofauti. Alikuwaa anashikia rekodi ya kufunga faulo nyingi ndani ya Serie A.(28)

Graham Alexander (130)

Sergio Ramos (88).

Alisajiliwa mwaka 2005, Ramos alinunuliwa kwa dau la €27 million, na kuwa beki wa kwanza wa kihispania kununuliwa kwa gharama kubwa. Alikuwa mchezaji wa kwanza kununuliwa chini ya utawala wa Raisi Mpya Florentino Perez.

Ramos ameifanyia makubwa sana Madrid. Hilo halipingiki. Ana matatizo mengi sana lakini matunda yake hakuna wa kuyadharau

Ramos alikabidhiwa jezi namba 4 iliyokuwa ikivaliwa hapo awali na Fernando Hierro. Mnamo 6 Desemba 2005 aliyofunga bao lake la kwanza kwa Madrid kwenye kipondo cha 1–2 kutoka kwa Olympiacos.

Ramos alicheza kama beki wa katikati msimu wa kwanza lakini ujio wa Christoph Metzelder na Pepe mwaka 2007–08 ulimfanya acheze kama kiungo mkabaji au beki wa kulia. Alifanikiwa kufunga mabao 20.

DATA ZA 05/06
Mashindano M G A Y YR R D
Jumla 05/06: 47 6 1 12 3 1 4.118′
34 4 9 2 1 2.948′
7 1 1 1 630′
6 1 3 540′

Nidhamu yake sio nzuri sana. Kama unapoona takwimu hapo juu msimu wake wa kwanza alipata kadi nyekundu 4. Ni mchezaji mpambanaji sawa lakini huwa sio mtulivu linapokuja suala la ugomvi. Hata hivyo Ramos amekuwa na mvutano fulani kati yake na Pique licha ya kwamba ni maswahiba. Kuna mcheza Ramos alipewa kadi nyekundu baada ya kumchezea Messi rafu. Wakati Ramos anatoka nje akawa anampigia makofi Pique. Baada Pique akasisitiza kuwa Ramos atajuyia sana maamuzi yake ys kumchezea rafu Messi.

TAKWIMU ZA UJUMLA.
Mashindano M G A Y YR R D
Jumla : 612 78 37 202 17 7 53.255′
432 56 28 142 13 6 37.381′
114 11 8 33 2 1 10.110′
40 4 1 16 2 3.514′
12 2 4 1.017′
6 1 2 462′
4 2 3 351′
4 2 2 420′

Wakati Perez anatoa mamilioni ili kutimiza ahadi yake ya kufanya mabadiliko wengi waliona kama amekurupuka. Mmoja kati ya wachezaji aliowaamini ni Ramos achilia mbali ukichaa wake..


Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here