Home Kimataifa Sarri aigomea Bayern, Mata na Young kusalia Old Trafford

Sarri aigomea Bayern, Mata na Young kusalia Old Trafford

3404
0

Mata Juan na Ashley Young wameongezewa mkataba wa miezi 12 ili kuwazuia kuondoka bure mwishon mwa mikataba yao.


Klabu ya Chelsea imethibitisha kuwa imetupilia mbali ombi la usajili la Hudson Odoi. Mkufunzi wa klabu ya Chelsea Maurizio Sarri ameweka wazi kuwa kinda wa klabu hiyo Callum Hudson-Odoi atabaki Chelsea mwezi huu.

Taarifa hiyo inaondoa uwezekano wa kuihama klabu hiyo dirisha dogo labda mwisho wa msimu huu.

💷 £30m ofa: imekataliwa ❌
💷 £32m ofa: imekataliwa ❌
💷 £35m ofa: imekataliwa ❌
💷 £40m ofa: imekataliwa ❌


Klabu ya Sunderland imekamilisha usajili wa Kiungo Grant Leadbitter kutoka klabu ya Middlesbrough. Grant amesaini mkataba wa miaka miwili na nusu kuitumikia klabu hiyo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here