Sarri aeleza kwanini hakumshika Guardiola mkono

  4309
  0

  Baada ya chelsea kutandikwa kipigo cha goli 6 kwa bila na mahasimu wao Man City kizaazaa kimezuka na maswali mengi mara baada ya Sarri kugoma kumpa mkono kocha wa Man City mara baada ya mchezo huo.

  Guardiola amesisitiza kuwa alisalimiana na Zola (Kocha msaidizi wa Chelsea) na anadhani Sarri hakumuona.


  Hat trick tokea uanze mwaka 2018 ni
  11

  👑 Sergio Agüero✅✅✅✅✅
  Mohamed Salah ✅✅
  Aaron Ramsey ✅
  Eden Hazard✅
  Roberto Firmino ✅
  Diogo Jota ✅

  Hata hivyo Mabao matatu aliyofunga Aguero yanamfanya kufikisha Hat trick 11 sawa na Alan shearer na kuwa vinara wa Hat Tricks EPL


  Kipigo hicho cha Chelsea imekuwa kipigo kizito kwao tokea ligi kuu Ianzishwe mwaka 1992. Mara ya mwisho walifungwa goli 7 na Nottingham Forest ikiwa inaitwa ligi daraja la kwanza.

  Hata hivyo Maurizzio Sarri alipoulizwa alisema

  “Sikumuona wakati ananipa mkono. Hakuna tatizp wala sijafanya makusudi. Baadae nitamtafuta na kumwambia Hello kama kawaida yangu”


  Makipa walioruhusu magoli EPL mengi tokea mwaka 2019 uanze!

  🥅Chelsea > Arrizabalaga >> 13
  🥅Fulham > Sergio Rico >> 15.
  :
  Shida iko wapi kwa Kepa? Tatizo ni yeye? Mfumo au mabeki wabovu?

  Comments

  comments

  LEAVE A REPLY

  Please enter your comment!
  Please enter your name here