Home Dauda TV Ray aitabiria Simba kichapo Misri

Ray aitabiria Simba kichapo Misri

3398
0

Msanii wa Bongo Movies Vicent Kigosi maarufu kwa jina la Ray ambaye pia ni shabiki maarufu wa klabu ya Yanga amesema Simba itachezea tena goli ano (5) huko Misri kama ilivyokuwa DR Congo.

“Na huko Misri tarehe 2 itakuwa ni kiama, mnapigwa tena 5 zilezile ‘khamsa.”

Full interview tayari ipo #YouTube unaweza kuiangalia hapo chini kwa kirefu zaidi kupitia #DaudaTv

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here