Home Dauda TV Rage afunguka kuhusu sakata la wachezaji wa Simba kuondolewa Stars

Rage afunguka kuhusu sakata la wachezaji wa Simba kuondolewa Stars

8673
0

Mjadala mkubwa kwa sasa kwenye michezo ni issue ya wachezaji wa Simba na Yanga kuondolewa kwenye timu ya taifa (Taifa Stars) na kocha mkuu Emmanuel Amunike kwa kushindwa kuripoti kambini kwa wakati.

Dauda TV imefanya mahojiano na Rais wa zamani wa Simba Ismail Aden Rage kujua sheria na kanuni zinasemaje lakini pia maoni na mtazamo wake kuhusu jambo hili.

Full interview hii hapa nimekuwekea kwenye YouTube channel yangu ya Dauda TV, pia usiache ku-subscribe ili uwe wa kwanza kupata taarifa mbalimbali kila ninapozi-post.
Mtazamo wako ni upi kuhusu wachezaji kuondolewa Taifa Stars?

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here