Home Kitaifa Rabbin Sanga atembelea makumbusho ya kitajiri Uturuki

Rabbin Sanga atembelea makumbusho ya kitajiri Uturuki

3233
0

Rabbin Sanga ametembelea makumbusho ya Instanbul yanayojulikana RAHMI. M. KOC yanayomilikiwa na familia ya kitajiri.

Inatajwa familia hii inachangia pato la taifa karibu 10% lakini familia hii ndiyo inamiliki klabu ya Fenerbahce.

Ndani ya familia ndio imezaliwa kampuni ya Beko wadhamini wa Ndondo Cup msimu uliopita na ndio ambao wameratibu safari ya Sanga toka Tanzania kwenda Uturuki kufanya majaribio.

“Nimefurahi kutembelea makumbusho nakuona vitu mbalimbali kwa mfano magari ya thamani yaliyotumika zamani, ndege za kivita, mashine za kutengeneza mafuta. Ni vitu vingi ambavyo nimeona kwa mara ya kwanza, hakika nime-enjoy sana.”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here