Home Uncategorized Pienaar asifia Simba

Pienaar asifia Simba

5218
0

Cameroon imemteu Djeumfa kuwa kocha mkuu wa Cameroon na kuchukua nafasi ya Ndoko.

Kocha huyo Alain ataisaidia timu ya taifa ya Cameroon ya wanawake katika michuano ya kombe la dunia kule nchini Ufaransa.

Ndoko aliisaidia Cameroon kwenye michuano ya mataifa ya Afrika kuke Ghana ambapo walimaliza nafasi ya 3.


Steven Pienaar amemsifia nyota wa Bandari FC Hassan. Pienaar alisema kuwa amefanikiwa kuangalia fainali mbili lakini Simba wamenikosa kwa kucheza vizuri licha ya kutolewa kwako.

“Siwakumbuki wachezaji wote lakini yule aliyevaa jezi namba 7 alicheza vizuri sana”

Mchezaji wa Bandari ambaye jezi namba 7 ni nyota huyo mzaliwa wa Mombasa ambaye kwa sasa ana miaka 22 pekee.

Hassan alianzia maisha yake ya soka katika akademi ya Uweza kule Sparki Mombasa.


Nyota wa zamani wa DRC Piere Ndaye Mulamba amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 70. Nyota huyo anshikilia rekodi ya kufunga magoli mengi AFCON akiwa na mabao 9 nyuma ya Eto’o mwenye magoli 18.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here