Home Kitaifa PICHA: STARS YAPOKELEWA KISHUJAA DAR LICHA YA KUTUA USIKU MZITO

PICHA: STARS YAPOKELEWA KISHUJAA DAR LICHA YA KUTUA USIKU MZITO

685
0
Samatta akikabidhiwa zawadi na mashabiki mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege jijini Dar es Salaam

Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kimepokelewa kwa shangwe kubwa baada ya kuwasili nchini kikitokea Chad ambako kilifanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji kwenye mchezo wa kuwania kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika mwaka 2017.

Licha ya Stars kuwasili aflajiri ya leo March 25 (Ijumaa) lakini kulikuwepo na kundi kubwa la mashabiki waliojitokeza kuipokea timu hiyo wakiongozwa na kikundi cha ushangiliaji cha ‘Stars Supporters’ kuhakikisha wanawapa hamasa wachezaji wa Stars.

shafihdauda.co.tz ilikuwepo eneo la tukio na hapa inakuletea picha za matukio mbalimbali yaliyojiri uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius K. Nyerere.

Erasto Nyoni akiwasili nyumbani baada ya kufanya kazi nzuri kwenye mchezo wa ugenini dhidi ya Chad
Erasto Nyoni akiwasili nyumbani baada ya kufanya kazi nzuri kwenye mchezo wa ugenini dhidi ya Chad
Kikundi cha wapiga ngoma wa Stars Supporters kikifanya yeke kuhakikisha watu hawalali
Kikundi cha wapiga ngoma wa Stars Supporters kikifanya yeke kuhakikisha watu hawalali
Ushindi unaraha yake na hapa mashabiki wakaamua kudhihirisha hilo
Ushindi unaraha yake na hapa mashabiki wakaamua kudhihirisha hilo
Mbwana Samatta Nahodha wa Stars na mfungaji wa goli pekee la ushindi wakati Stars ilipocheza dhidi ya Chad siku ya Jumatano
Mbwana Samatta-nahodha wa Stars na mfungaji wa goli pekee la ushindi wakati Stars ilipocheza dhidi ya Chad siku ya Jumatano akiwaongoza wachezaji kutoka nje ya uwanja wa ndege mara baada ya timu kuwasili
Wachezaji wa Stars na wote waliosafiri kuelekea Chad wakiwa kwenye basi tayari kuelekea hotelini kupumzika baada ya kuwasili Dar
Wachezaji wa Stars na wote waliosafiri kuelekea Chad wakiwa kwenye basi tayari kuelekea hotelini kupumzika baada ya kuwasili Dar
Mashabiki wa Stars wakiongozwa na kikundi cha Stars Supporters wakiimba na kushangilia wakati wachezaji walipokuwa wakiwasili
Mashabiki wa Stars wakiongozwa na kikundi cha Stars Supporters wakiimba na kushangilia wakati wachezaji walipokuwa wakiwasili
Haji Mwinyi akitoka nje ya eneo la wasafiri wanaowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwl. Julius K. Nyerere
Haji Mwinyi akitoka nje ya eneo la wasafiri wanaowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwl. Julius K. Nyerere
Nahodha msaidizi wa Taifa Stars John Bocco
Nahodha msaidizi wa Taifa Stars John Bocco
Wacheaji na viongozi wa Stars wakitoka nje ya uwanja wa ndege
Wacheaji na viongozi wa Stars wakitoka nje ya uwanja wa ndege
Viongozi walioambatana na timu kwenye mchezo dhidi ya Chad
Viongozi walioambatana na timu kwenye mchezo dhidi ya Chad
Basi ambalo lilibeba wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kuwapeleka hotelini
Basi ambalo lilibeba wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kuwapeleka hotelini

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here