Home Kitaifa PICHA 20: WACHEZAJI WA YANGA WALIVYOSHEREKEA TAJI LAO LA VPL 2015-16

PICHA 20: WACHEZAJI WA YANGA WALIVYOSHEREKEA TAJI LAO LA VPL 2015-16

23270
0

IMG_0249

May 14, 2016 ni siku ambayo Yanga imekabidhiwa kombe la ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu wa 2015-16 baada ya kufanya vizuri kwenye mechi zake na kujihakikishia pointi za kutosha ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote ndani ya VPL.

Ni historia ya aina yake kwa mashabiki na wanachama, wachezaji, benchi la ufundi pamoja na uongozi kwa ujumla kwani ni kitu ambacho waliwekeza muda, pesa na kila kitu ili kuhakikisha wanafanikiwa kuwa mabingwa.

Miongoni mwa vitu vya kuvutia katika sherehe za Yanga kukabidhiwa kombe lao ni namna ambavyo baadhi ya wachezaji walivyojumuika kushangilia ubingwa huo wakiwa na familia zao pamoja na watu wao wa karibu.

Hizi hapa picha za matukio mbalimbali yaliyojiri wakati sherehe za Yanga kukabidhiwa mwali wao wa 26 katika historia ya klabu hiyo kwenye ligi kuu ya soka Tanzania bara.

IMG_0307 IMG_0623 IMG_0607 IMG_0598 IMG_0472 IMG_0480 IMG_0420 IMG_0327 IMG_0316 IMG_0310 IMG_0286 IMG_0248 IMG_0140 IMG_0630 IMG_0243 IMG_0450

IMG_0545

IMG_0501

IMG_0636

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here