Home Kimataifa Pellegrin awatishia Liverpool

Pellegrin awatishia Liverpool

3396
0

Makocha wawili wa zamani wa Liverpool wameisimamisha Man city msimu huu (Benitez na Hodgson).

Je leo kocha wa zamani wa City Manuel Pellegrini atamsimamisha Liverpool?


Kocha wa klabu ya West Ham United, Manuel Pellegrin, amesema kuelekea mchezo wao wa ligi kuu England dhidi ya Liverpool, lazima awafunge Liverpool.

Amesema anahitaji ushindi ili kuweka klabu yake ya zamani Manchester City, katika mazingira mazuri ya kuwania taji msimu huu la ligi kuu England.

Kocha huyo, ameshawahi kuingoza klabu ya Manchester City, msimu mitatu na kutwaa taji la ligi kuu England msimu wa mwaka 2014.

Tunahitaji ushindi katika mchezo huu itakuwa furaha kwetu na ushindi muhimu sana”

Jana klabu ya Man City ilifanikiwa kupata ushindi ambao uliwasogeza mbele na kuwaogolea Liverpool


FT’ City 3 – 1 Arsenal
Aguero ⚽⚽⚽
Koscienly ⚽

Unai Emery ni kibonde kwa Guardiola
👕 12 Mechi
❌ 8 amefungwa
🤝 4 sare
☑️ 0 Ushindi


Premier League:

1. Liverpool 61 pts
2. Man City 59 pts
3. Spurs 57 pts
4. Chelsea 50 pts
5. Man Utd 48 pts
6. Arsenal 47 pts


Kama tutaifunga Liverpool, tutakuwa tumesaidia Manchester City, kwenye kuwania ubingwa wa ligi kuu msimu huu na ni mshabiki wa klabu hiyo ukiacha kazi ya ukocha, “. Alisema Pellegrin.

Hata hivyo Pellegrin ameweka wazi mapenzi yake kwa kusema yeye ni shabiki wa Man City

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here