Habari Mpya

Odoi kugomea mshahara mpya Chelsea

Kinda wa Chelsea Collum Hudson-Odoi anatarajia kukataa ofa ya mshahara wa £85,000 ili abakie klabuni hapo. Odoi inasemekana anataka kujiunga na miamba wa Ujerumani...

Kevin Boateng kutua Barcelona

Kama kuna habari imeteka vichwa vya habari kule ulaya ni habari ya Boateng kwenda Barca. Nyota huyo wa zamani klabu ya AC Milan Kevin...

Morata done deal

Morata tayari amekubaliana na klabu ya jiji alilozaliwa Madrid na klabu ya Atletico Madrid. Atletico imefanya makubaliano na Chelsea ya kumnunua MOrata hapo baadae kwa...

Dembele majeraha kumweka nje

Winga wa Barcelona na timu ya taifa ya Uafaransa Ousmane Dembele jana kwenye mchezo dhidi ya Leganes aliumia kifundo cha mguu Mchezo huo uliisha Kwa...

“Kichapo cha AS Vita ni darasa kwa Simba”-Patrick Aussems

Kocha wa Simba kupitia ukurasa wake wa Twitter @PatrickAussems amesema kichapo cha mabao 5-0 kutoka kwa AS Vita kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa...

Jezi ya Man United yazima uhai wa mwanasoka Zimbabwe

"Alikuwa amevaa jezi ya Manchester United, nahisi walidhani ni muandamaji. Wakampiga risasi ya kichwa kisha wakamtelekeza" Maneno ya Mzee Julius Choto "Mwanangu alikuwa tegemezi, Serikali...

“Simba ilicheza Champions League kama mechi ya kirafiki”-Zahera Mwinyi

Kocha wa Yanga Zahera Mwinyi amesema kwa jinsi alivyoiangalia mechi ya ligi ya mabingwa Afrika AS Vita vs Simba, kiufundi aliona wachezaji wa Simba...

Huyu ndiye Arthur Melo anayejua kuuficha mpira.

Jina la Arthur Melo halizungumzwi sana kwenye vyombo vya habari kwasababu kiungo huyo bado hajaonekana ni mtu muhimu kwa Klabu ya Barcelona. Baada ya...

Kocha AS Vita kataja udhaufu wa Simba

Baada ya mechi ya AS Vita vs Simba kumalizika, nilikutana na kocha msaidizi wa Vita Raoul Shungu ambaye si mgeni kwa watanzania kwa sababu...

Shaffih Dauda aeleza kilichoiua Simba Congo

AS Vita walianza taratibu wakiwa wanaisoma Simba, walitengeneza nafasi na kufanya mashambulizi kadhaa ya kushtukiza huku wakitumia udhaifu wa safu ya ulinzi ya Simba. Eneo...

Kimataifa

Kevin Boateng kutua Barcelona

Kama kuna habari imeteka vichwa vya habari kule ulaya ni habari ya Boateng kwenda Barca. Nyota huyo wa zamani klabu ya AC Milan Kevin...

Morata done deal

Morata tayari amekubaliana na klabu ya jiji alilozaliwa Madrid na klabu ya Atletico Madrid. Atletico imefanya makubaliano na Chelsea ya kumnunua MOrata hapo baadae kwa...

Dokumentari

Kitaifa

“Kichapo cha AS Vita ni darasa kwa Simba”-Patrick Aussems

Kocha wa Simba kupitia ukurasa wake wa Twitter @PatrickAussems amesema kichapo cha mabao 5-0 kutoka kwa AS Vita kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa...
473,223FansLike
139,573FollowersFollow
70,269FollowersFollow

Misimamo ya Ligi

Ratiba za Mechi