TFF WASIKATE TAMAA NA STARS YA MABORESHO, AFCON NGUMU KUIFIKIA MWAKANI

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 SHIRIKISHO la soka Tanzania limeshauriwa kutokata tamaa na mpango wake wa maboresho ya Taifa Stars kupitia mkakati wake wa...

TFF YAVURUGWA NA USAJILI WA DOMAYO AZAM, YATEUA WAKILI KUCHUNGUZA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MABINGWA wa ligi kuu soka Tanzania bara, Azam fc ndani ya siku mbili wamefanya usajili wa wachezaji wawili kutoka...

KAULI YA COSTA KUHUSU KUJIUNGA NA CHELSEA MAJIRA YA JOTO HII HAPA

MSHAMBULIAJI wa Atletico Madrid, Diego Costa, ameitandika Chelsea bila huruma na kuisaidia klabu yake kufuzu fainali licha ya kuwepo kwa tetesi kuwa atajiunga na...

MOURINHO ACHARAZWA 3-1, FAINALI UEFA NI REAL MADRID V ATLETICO MADRID

KWA mara ya kwanza dunia itashuhudia fainali ya kwanza ya UEFA mei 24 mwaka huu mjini Lisbon, Ureno, itayozikutanisha timu mbili zinazotoka mji mmoja...

OFFICIAL: FRANK DOMAYO ASAINI AZAM FC MIAKA MIWILI

Katika kipindi cha masaa 24 mabingwa wa Tanzania bara klabu ya Azam FC imeipa mapigo mawili takatifu wapinzani wao Dar Young Africans baada ya...

WALCOTT: KUSHINDA FA KUTATUPA `MZUKA` ZAIDI WA MAKOMBE

WINGA hatari wa Asernal, Theo Walcott anaamini kushinda taji la FA itakuwa kichocheo cha kushinda mataji mengi misimu ijayo. Imepita miaka 9 sasa tangu Arsene...

KAGERA SUGAR KUTAFUTA MSAIDIZI WA THEM FELIX NJE YA NCHI

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WAKATA miwa wa Kaitaba, `Wanankulukumbi` Kagera Sugar wanatarajia kufanya usajili makini ili kuendana na kasi ya ushindani katika mitanange...

MOURINHO AWAONESHA JEURI `WAJUAJI` WA MPIRA KULIKO YEYE

ZIKIWA zimebaki saa chache kushuhudia timu itakayoungana na Real Madrid katika mchezo wa fainali ya UEFA mei 24 mjini Lisbon nchini Ureno kati ya...

KATIBU MKUU WA FIFA AWASILI MEI MOSI

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Jerome Valcke anawasili nchini kesho (Mei 1 mwaka huu) ambapo atafungua semina ya...

KAULI YA GUARDIOLA BAADA YA KIPIGO KUTOKA KWA REAL MADRID

PEP Guardiola ameeleza kuwa kiwango walichoonesha Bayern Munich ni kikubwa mno japokuwa walifungwa mabao 4-0 na Real Madrid katika mchezo wa nusu fainali ya...

STEVEN MAZANDA: BADO NINA DENI NA MBEYA CITY FC, AFYA YANGU INAIMARIKA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KIUNGO matata wa Mbeya City fc, Steven Mazanda ataendelea kuitumikia klabu yake hiyo msimu ujao wa ligi kuu soka...

BAYERN WAVULIWA UBINGWA UEFA, WALIMWA 5-0 NA REAL MADRID, BALE ASEMA….

BAYERN Munich wamevuliwa ubingwa wa UEFA kwa kipigo cha mbwa mwizi baada ya kufungwa mabao 5-0 na Real Madrid katika mechi mbili za nusu...

KAVUMBAGU: SASA MIMI NI SHABIKI NAMBA MOJA WA AZAM FC

Picha kwa hisani ya Tovuti ya Azam fc Na Baraka Mpenja, Dar es salaam DIDIER Kavumbagu kwaheri Yanga. Hii ni baada ya mchana wa leo kusaini...

MIAKA 10 YA MATUMIZI YA £830MILLION KUUSAKA UBINGWA WA 10 ULAYA

Tangu mwaka 2002 wakati Zinedine Zidane alipofunga moja ya magoli mazuri kabisa katika historia ya Champions League na kuiwezesha Real Madrid kutwaa wa ulaya...

OFFICIAL: DIDIER KAVUMBAGU ASAINI AZAM FC MWAKA MMOJA

Mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi aliyekuwa anakipiga kwenye klabu ya Dar Young African Didier Kavumbagu amesaini kuichezea klabu bingwa ya Tanzania bara Azam FC. Taarifa...

LIGI YA MABINGWA MIKOA KUANZA KUTIMUA VUMBI MEI 10

Na Boniface Wambura, Dar es salaam Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) msimu wa 2013/2014 itakayochezwa kwa mkondo mmoja inaanza kutimua vumbi Mei 10 mwaka...