MAN CITY WAING`OA LIVERPOOL KILELENI, WAICHAPA EVERTON 3-2, MAN UNITED YA GIGGS YAPIGWA 1-0

Edin Dzeko akishangilia bao lake MATOKOE YA LIGI KUU SOKA NCHINI ENGLAND LEO ENGLAND: Premier League   14:45 Finished West Ham 2 - 0 Tottenham  17:00 Finished Aston Villa 3 - 1 Hull City 17:00 Finished Manchester United 0 - 1 Sunderland 17:00 Finished Newcastle Utd 3 - 0 Cardiff 17:00 Finished Stoke City 4 - 1 Fulham 17:00 Finished Swansea 0 - 1 Southampton 19:30 Finished Everton 2 - 3 Manchester City BAADA...

ANCELOTTI KUWATUMIA CASILLAS, LOPEZ KWA WAKATI MMOJA, FAINALI UEFA CASILLAS MZIGONI

CARLO Ancelotti amesema ataendelea kuwatumia walinda mlango wake wote, Iker Casillas na Diego Lopez katika mechi zilizosalia za ligi kuu soka nchini Hispania, La...

`MESSI`, MKUDE NGOMA MPAKA 2017 SIMBA, KAMA TIMU INATAKA SAINI ZAO YAKARIBISHWA NA POPPE...

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KAMATI ya usajili ya klabu ya Simba SC inatarajia kukutana jumatatu ya wiki ijayo kujadili ripoti ya kocha mkuu,...

TEGETE: SIBANDUKI YANGA, DOMAYO, KAVUMBAGU WASIWANYIME WATU USINGIZI

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MSHAMBULIAJI wa Yanga SC, Jeryson John Tegete amesema kuwa ataendelea kuitumikia klabu hiyo msimu mpya wa ligi kuu soka...

MREFA YAHIMIZA MASHABIKI KUISHANGILIA TAIFA STARS, UWANJA KAMILI GADO ASILIMIA 95

Na Baraka Mpenja, Dar e salaam CHAMA cha soka Mkoani Mbeya, MREFA kimewaomba mashabiki wa soka mkoani humo kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu ya taifa...

FIFA WAPIGA CHINI OMBI LA FERNANDO KUTAKA KUICHEZEA URENO KOMBE LA DUNIA

SHIRIKISHO la soka duniani FIFA, limetupilia mbali maombi ya kiungo wa Porto, Mbrazil, Fernando kutaka kuichezea timu ya taifa ya Ureno katika fainali za...

KUONDOKA DOMAYO, KAVUMBAGU KWATIA CHUMVI KIDONDA CHA BILIONEA DAVIS MOSHA, AUSHUKIA VIKALI UONGOZI WA...

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 MAKAMU mwenyekiti wa zamani wa Yanga sc, Bilionea, Davis Mosha ameushutumu uongozi wa sasa wa klabu hiyo kushindwa kuwabakiza...

DANIEL STURRIDGE HATARINI KUWAKOSA CRYSTAL PALACE

BRENDAN Rodgers bado anasubiria mshambuliaji wake Daniel Sturridge awe fiti tayari kwa safari ya kuwafuata Crystal Palace katika mchezo muhimu wa ligi kuu nchini...

KUPOROMOKA VIWANGO, NIDHAMU MBOVU YAWAENGUA SITA RUVU SHOOTING

Na Baraka Mpenja, Dar es Salaam KOCHA wa Ruvu Shooting ya Pwani, Mkenya Tom Alex Olaba amewatema wachezaji sita (6) katika kikosi chake na kuagiza...

UEFA YANUKIA KWA ATLETIC BILBAO, YAITANDIKA RAYO VALLECANO 3-0 LA LIGA

KLABU ya Atletic Bilbao amefufua matumaini ya kucheza ligi ya mabingwa barani ulaya msimu ujao baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Rayo...

DEUS KASEKE WA MBEYA CITY FC AMKARIBISHA LOGARUSIC WA SIMBA

Na Baraka Mpenja, Dar es Salaam KIUNGO mshambuliaji wa Mbeya City fc, Deus Kaseke amefungua milango kwa klabu yoyote inayotaka kumsajili kwa masharti ya kumlipa...

MALAWI YAWASILI KUIKABILI TAIFA STARS, KIINGILIO BUKU 5 TU

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WAPENZI wa soka jijini Mbeya wanatarajia kuishuhudia timu yao ya taifa ya Tanzania, Taifa stars kwenye uwanja wa kumbukumbu...

MOURINHO AJIBU JEURI YA EDEN HAZARD, ASEMA ASILIMIA 100 HAJITOLEI KUISADIA CHELSEA

 Bosi wa  Chelsea  Jose Mourinho anaamini  Eden Hazard hayuko tayari kujitolea kwa ajili ya timu.  Jose Mourinho amejibu mapigo kwa winga wake Eden Hazard aliyekosoa...

CHAMBUA ASEMA DOMAYO, SURE BOY WATATISHA SAFU YA KIUNGO AZAM

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga SC, Tukuyu Stars na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa stars, Seklojo Johnson Chambua...

MARTINEZ ATAKA SHERIA YA MIKATABA YA MKOPO KWA WACHEZAJI IREKEBISHWE

KOCHA wa Everton, Roberto Martinez ameomba sheria ya wachezaji wa mkopo ifanyiwe marekebisho na kuwaruhusu kucheza dhidi ya klabu walizotoka. Martinez ameweza kuwatumia vizuri wachezaji...

NEYMAR: MIMI NA MESSI NI MASWAHIBA WAKUBWA, HATUNA UGOMVI WOWOTE

MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Mbrazil, Neymar, amesema anafurahia mahusiano yake mazuri na mchezaji mwenzeka wa klabu hiyo, Lionel Messi. Bosi wa Barca, Gerardo Martino Tata ameshindwa...