Habari Mpya

Simba wamefungua milango lakini wakumbuke madirisha yapo wazi.

WAwakilishi wa Tanzania kimataifa na mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Simba sports club wapo kwenye maandalizi makali kuelekea mechi ya kimataifa dhidi...

La Liga kuifaidisha Tanzania

Mwakilishi wa La Liga Tanzania Luis Cardenas leo amezungumzia maendeleo ya mchezo wa soka na  namna La Liga anavyochangia katika maendeleo hayo kuhakikisha mchezo...

Wachezaji waachwa kwenye mataa bila nauli

Wachezaji wa Nyundo FC inayoshiriki kombe la TFF wamejikuta wakitelekezwa na mwenyekiti wa timu Shabani Rashid wakiwa Sumbawanga mkoani Rukwa baada ya kutoka kwenye...

Yanga kuifungulia TFF kesi mbili

Kiongozi wa matawi ya Yanga Kaisi Edwin amesisitiza juu ya suala la kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya uchaguzi wao kusimamiwa na kamati ya uchaguzi...

Falsafa ya soka la Kibongo

Na Robert Komba Katika kuelezea changamoto zinazoukabili mpira wa Tanzania, wadau wengi walitoa na wanaendeleza kutoa maono yao juu ya sababu ya kwanini Tanzania haipo...

Mtoto hatumwi dukani: Liverpool vs Napoli

Leo jumanne, Ligi ya Mabingwa barani Ulaya itaendelea tena. Kutakuwa na mechi nane usiku wa leo. Moja ya mechi inayosubiriwa na watu wengi, ni...

Hata kina Samatta walianzia huku

Ebwana jana nilishuhudia show kali sana mpira wa makaratasi 'sodo' au 'chandimu' ilikuwa nusu fainali ya UEFA Academy Sodo Cup chini ya miaka 14...

Shkamoo Messi

Umri wake unakwenda, kasi yake bado inadai. Huyu jamaa uwezo wake utadhani amekata breki. Anatisha sana huyu kiumbe. Alipoondoka Ronaldo kule La liga wengi walidhani...

Sarri ametuonyesha umuhimu wa kupaki basi

Kuna watu wanamsema sana Mou na mfumo wa kukaba. Sijajua nani kaawaambia huo mfumo haufanyi kazi? Kuna watu wameponzwa na aina ya uchezaji wa timu...

Taarifa kuelekea Chelsea vs Man City

Mchezo wa ligi kuu England kati ya Chelsea dhidi ya Manchester City, mchezo huu ambao ulikuwa unasubiria kwa hamu duniani na mashabiki mbali mbali...

Kimataifa

Simba wamefungua milango lakini wakumbuke madirisha yapo wazi.

WAwakilishi wa Tanzania kimataifa na mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Simba sports club wapo kwenye maandalizi makali kuelekea mechi ya kimataifa dhidi...

Shkamoo Messi

Umri wake unakwenda, kasi yake bado inadai. Huyu jamaa uwezo wake utadhani amekata breki. Anatisha sana huyu kiumbe. Alipoondoka Ronaldo kule La liga wengi walidhani...

Dokumentari

Kitaifa

La Liga kuifaidisha Tanzania

Mwakilishi wa La Liga Tanzania Luis Cardenas leo amezungumzia maendeleo ya mchezo wa soka na  namna La Liga anavyochangia katika maendeleo hayo kuhakikisha mchezo...
472,470FansLike
1,438,086FollowersFollow
67,328FollowersFollow

Instagram

Misimamo ya Ligi

Ratiba za Mechi