KOCHA JOACHIM LOEW AMRUDISHE MILOSLAV KLOSE KATIKA KIKOSI CHA KWANZA

Na Baraka Mbolembole Mshambuliaji wa Ujerumani, Miloslav Klose alifunga goli lake la 70 katika michezo 133 ya kimataifa ambayo ameiwakilisha nchi yake. Klose alifunga goli...

JICHO LANGU LA TATU: GHANA WANA NAFASI YA KUTINGA HATUA YA 16 BORA

Na Baraka Mbolembole Ghana ' Black Stars' ilicheza soka la kiwango cha juu dhidi ya Ujerumani ' National Eleven'. Kikosi cha kocha mzawa kilikuwa bora...

HODGSON AMUOMBA GERRARD KUICHEZEA ENGLAND FAINALI ZA ULAYA 2016

Utabakia Stevie? Hodgson ana matumaini ya kutompoteza Gerrard.   ROY Hodgson  atajaribu kumshawishi  Steven Gerrard ili aendelee kucheza soka la kimataifa mpaka 2016. Nyota huyo amebaki njia...

BIN SLUM KUINUA SOKA NA KUTANUA SOKO LA BIASHARA

Bin Slum ameidhamini Mbeya City FC kwa kitita cha milioni 360 Na Baraka Mbolembole Kitu kizuri kinajiuza chenyewe popote pale, katika ulimwengu ambao mchezo wa...

WANACHAMA SIMBA MNAJUA WAKATI ULIOPO MBELE YENU?, SASA UTANI TUPA KULE!

Mtadanganyika?: Wanachama wa Simba jiepusheni na siasa nyepesi za wagombea. Tumieni muda kutafakari sera za wagombea. Na Baraka Mpenja, Dar es Salaam 0712461976 SHIRIKISHO la Mpira wa...

NIGERIA WAFUFUA MATUMAINI YA AFRIKA KOMBE LA DUNIA, WAICHACHAFYA BOSNIA 1-0, ASANTE ODEMWINGIE!

 Mshambuliaji wa Nigeria  Peter Odemwingie (kushoto) akifunga bao lake, huku kipa  Asmir Begovic akiwa hana la kufanya.   BAO pekee la mshambuliaji wa Stoke City, Peter...

WANAOPINGA MAAZIMIO YA MKUTANO MKUU DAFTARI LIPO WAZI

Mwenyekiti wa Klabu ya Young Africans Bw Yusuf Manji amesema wanachama wanaopinga maamuzi ya mkutano mkuu uliofanyika Juni Mosi 2014 katika Bwalo la Polisi...

GHANA YAIKOSA UJERUMANI KWENYE MTEGO, YATOKA SARE YA 2-2

 Miroslav Klose amefunga bao lake la  15 akiichezea Ujerumani na kulazimisha sare ya 2-2. TIMU ya Taifa ya Ghana almanusura iibuke na ushindi dhidi ya...

ARGENTINA YAHENYESHWA NA IRAN LICHA YA KUSHINDA 1-0, MESSI APIGA GOLI MATATA

 Furaha: Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi akishangilia bao la ushindi. TIMU ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kupata ushindi wa taabu wa bao 1-0 dhidi ya...

RUKSA UCHAGUZI KUENDELEA SIMBA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya kupokea na kuzingatia maombi ya Simba (barua imeambatanishwa), na kwa kuzingatia Ibara ya 26 ya...

UFARANSA YAIANGAMIZA USWISI KWA KUITANDIKA 5-2 NA KUFUZU HATUA YA 16 KOMBE LA DUNIA

Wachezaji wa Ufaransa wakipongezana baada ya kufuzu hatua ya 16 TIMU ya Taifa ya Ufaransa imeitandika Uswisi mabao 5-2 usiku huu na kufuzu hatua ya...

RAIS MALINZI AWATAKA MAKOCHA KUTUMIA UJUZI WAO

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewataka makocha wa mpira wa miguu wafanyie kazi kwa vitendo mafunzo wanayopata badala...

COSTA RICA HAWANA MASIHARA KOMBE LA DUNIA, WAICHAPA ITALIA 1-0 NA KUFUZU HATUA YA...

 Costa Rica wakishangilia ushindi wao wa bao 1-0 dhidi ya Italia.   TIMU yaTaifa ya Italia maarufu kama Azzuri imeangukia pua usiku huu katika mchezo wa...

JOSE MOURINHO AMWAGA MACHOZI AKIFANYA ZIARA AFRIKA, ASEMA FAINI ANAZOTOZWA NA FA ZISAIDIE WENYE...

Muangalizi: Jose Mourinho (kulia) amekuwa akiwatembelea watoto wanaosumbuliwa na njaa pamoja na wagongwa wa UKIMWI nchini Ivory Coast akiwa kama balozi wa Mpango wa...

LUIS SUAREZ: NILIOTA WAKATI HUU KUFIKA KUTOKANA NA UKOSOAJI NILIOPATA KWA WAINGEREZA

 Jembe la kazi: Luis Suarez alikuwa nyota wa Mchezo Italia ikiifunga England mjini   Sao Paulo. LUIS Suarez amekiri kuwa magoli yake mawili ambayo yamewaacha...

BALOTELLI `CHIZI KWELI` AHITAJI BUSU LA SHAVUNI KUTOKA KWA MALKIA WA UINGEREZA KAMA ITALIA...

Mario Balotelli amesema anatarajia busu kutoka kwa malikia kama Italia itaifunga Costa Rica leo ijumaa.   MATUMAINI ya England kufuzu hatua ya pili ya kombe la...