TETESI ZA USAJILI: “HAKUNA KILICHOFANYIKA'” NA DI MARIA-BLANC

LAURENT Blanc amegoma kuweka wazi kama Paris Saint-Germain imefanya mazungumzo juu ya kumsajili nyota wa Real Madrid, Angel Di Maria. Di Maria alikuwa mchezaji muhimu...

RASMI: FRANK JAMES LAMPARD ATAMBULISHWA NA NEW YORK CITY

MAISHA ya Frank James Lampard katika klabu ya Chelsea rasmi yamefika tamati baada ya kukamilisha uhamisho wake kujiunga na New York City inayoshiriki ligi...

YANGA SC YAKANUSHA TAARIFA ZA KUJITOA KOMBE LA KAGAME, YASEMA HUO NI UZUSHI TU!

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam BAADA ya kuenea kwa taarifa jioni ya leo kuwa Yanga sc imejitoa kushiriki michuano ya klabu bingwa Afrika mashariki...

AZAM FC YAKWAMA KUCHEZA NA MBEYA CITY FC, SASA YAITAKA SIMBA SC YA LOGARUSIC

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MABINGWA wa ligi kuu soka Tanzaania bara, Azam fc wamegonga mwamba kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya wagonga nyundo...

`BIG BOSI` WA DAR ABARIKI UJIO WA MAGWIJI WA REAL MADRID, AAHIDI KUTOA USHIRIKIANO...

Kutoka kulia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidy Meckysadick, Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Farough Baghozah na Wajumbe, Evarist Hagila na Saad...

ROMELU LUKAKU AIPASHIA LIGI KUU NA KLABU YAKE YA ZAMANI YA ANDERLECHT

Karudi nyumbani: Romelu Lukaku ameamua kufanya mazoezi na timu yake ya zamani kabla ya kuanza msimu mpya.    MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Romelu Lukaku anajifua na klabu...

RASMI: LUCAS PIAZON AJIUNGA NA EINTRACHT FRANKFURT KWA MKOPO

MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Lucas Piazon amejiunga na  Eintracht Frankfurt kwa mkopo wa muda mrefu. Mbrazil huyo alijiunga Stamford Bridge kutokea Sao Paulo mwaka 2008 , lakini ameshindwa...

AZAM FC YAITANDIKA RUVU SHOOTING 1-0 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI

MABINGWA wa ligi kuu soka Tanzania bara, Azam fc leo asubuhi wamecheza  mechi ya kujipima uwezo dhidi ya Ruvu Shooting katika dimba la Azam...

RASMI: SIMBA YABARIKI MOMBEKI KUJIUNGA NA JKT RUVU

SIMBA SC imemruhusu mshambuliaji wake, Betram Mombeki kujiunga na maafande wa JKT Ruvu ya mkoani Pwani. Siku za karibuni, Mombeki aliichezea timu hiyo ya Fred...

TETESI: SIMBA INAKARIBIA KUINASA SAINI YA PAUL KIONGERA KUTOKA KENYA

Simba inapambana kumsaini kiungo wa timu ya Taifa ya vijana ya Kenya, Paul Kiongera anayekipiga katika klabu ya KCB. Kiongera ni kiungo mchezesha timu...

TETESI: ELIAS MAGURI KUTUA MSIMBAZI

WEKUNDU wa Msimbazi Simba wapo katika mazungumzo na mshambuliaji wa Ruvu Shooting, Elias Maguri. Taarifa za uhakika zinasema mazungumzo hayo yanakwenda vizuri na muda wowote...

RASMI: CASILLAS ATUA SIMBA NA KUSAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI

MLINDA Mlango namba moja wa Mtibwa Sugar, Hussein Sharrif , 'Casillas' amekamilisha usajili wa kujiunga na Wekundu wa Msimbazi Simba. Casillas ambaye alikuwa kipa bora...

TETESI: KHAMIS KIIZA KUFUNGASHIWA VIRAGO YANGA SC

KUFUATIA kusajiliwa kwa mshambiliaji wa Kibrazil, Gleison Santos Santana 'Jaja`, Mganda Khamis Kiiza anaachwa na klabu ya Yanga majira haya ya kiangazi. Kati ya Emmanuel...

RASMI: ANDREY COUTINHO ASAINI MIAKA MIWILI YANGA SC

Kiungo mshamabuliaji Andrey Marcel Ferreira Coutinho raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miwili kuitumikia timu ya Young Africans kwa ajili ya michuano mbalimbali...

RASMI: RUHENDE AJIUNGA NA MTIBWA SUGAR

BEKI wa zamani wa Yanga David Luhende amejiunga na Klabu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro kwa mkataba wa mwaka mmoja. Awali beki huyo alisaini mkataba...

RASMI: YANGA YAMPA MKATABA WA MIAKA MIWILI JAJA

Yametimia klabu ya soka ya Yanga imempa mkataba wa miaka miwili mshambuliaji raia wa Brazili Geilson Santana Santos ‘Jaja’  Jaja alizaliwa Septemba 21 mwaka 1985...