BRAZIL YASHIKWA PABAYA, YATOKA 0-0, KIPA WA MEXICO ACHOMOA VITU VYA HATARI

Hapa mangumi tu: Guillermo Ochoa akiokoa mpira wa hatari uliopigwa na Paulinho. ULIKUWA usiku muhimu kwa Brazil katika mechi ya pili ya kundi A...

HUYU NDIYE MCHEZAJI ALIYECHEZA KOMBE LA DUNIA AKIWA NA MIAKA 17

  Mchezaji Norman Whiteside ndiye anayeshikilia rekodi ya kucheza kombe la dunia akiwa na umri mdogo kuliko wachezaji wote. Hadi leo rekodi hiyo haijavunjwa na...

JOSE MOURINHO AIBUKA NA KUMKANDIA PEPE, ASEMA KWANZA SIO MRENO

 Nenda! Pepe alitolewa nje kwa kadi nyekundu na mwamuzi, Molirad Mazi.  Umechemka! Jose Mourinho amesema Pepe alikosea na anatakiwa kubadilika na kuwajibika.  Pepe alimpiga kichwa...

KAMPUNI YA BIN SLUM YAINGIA MKATABA WA MILIONI 50 NA STENDI UNITED

  Baada ya kuingia mkataba na Mbeya city kampuni ya Bin Slum haijasimama kendelea kutoa support ya uhakika kwenye mpira wa Tanzania. Hivi sasa waliofaidika...

TIMU ZA AFRIKA ZAZIDI KUWA UROJO KOMBE LA DUNIA, ALGERIA NAYO YAKUNG`UTWA 2-1 NA...

 Manywele! Nyota wa Manchester United ,  Marouane Fellaini akishangilia bao lake la kusawazisha . Marouane Fellaini akitokea benchi ameifungia Ubelgiji bao la kusawazisha katika kipindi...

EPISODE 7 YA DAUDA TV : INTERVIEW NA MCHAMBUZI MAMADOU GAYE NA UTABIRI WA...

Mamadou Gaye ni mchambuzi wa soka maarufu sana barani Africa. Shaffih Dauda akiwa Brazil kamera ya Dauda TV ikakutana na mchambuzi huyu na akatoa...

SANTI CARZOLA SASA WASIWASI ARSENAL, ATLETICO MADRID WATEGA NYAVU ZAO

Santi Cazorla aliifungia Asernal bao la ushindi katika mchezo wa nusu fainali wa FA dhidi ya Wigan.  Santi Cazorla amesema atapima upepo wake katika...

JICHO LANGU LA TATU; URENO KAMWE HAITAIFUNGA UJERUMANI, MULLER NI MFUNGAJI WA KOMBE LA...

Thomas Muller aliwachachafya Ureno na kupiga hat-trick katika mchezo wa jana Na Baraka Mbolembole Ikicheza mchezo wake wa 22 mfululizo katika fainali za kombe...

SERENGETI BOYS KUCHEZA AZAM COMPLEX

Mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 kati ya Tanzania (Serengeti Boys)...

MUSOMA VETERANI MABINGWA CASTLE LAGER PERFECT SIX KANDA YA ZIWA

Afisa Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania mkoani Mwanza Liston Chale (kulia), Meneja Matukio, TBL Mwanza Eric Mwayela, na Meneja wa Bia ya Castle...

Mabao 10 ya mapema zaidi kwenye Kombe la Dunia

Hakan Sukur (2002): 11 seconds Vs South Korea Vaclav Masek (1962): 16 seconds Vs Mexico Ernst Lehner (1934): 25 seconds Vs Austria Bryan Robson (1982): 27 seconds Vs France Clint Dempsey...

URENO YA RONALDO YALA KIPIGO CHA 4-0 KUTOKA KWA `WANYAMA` UJERUMANI, MULLER NDO HABARI...

Wachezaji wa Ujerumani wakumpongeza mwenzao Thomas Muller (kushoto) baada ya kupiga hat-trick leo MJERUMANI Thomas Muller awa mchezaji wa kwanza  kufunga mabao matatu katika...

STEFANO MWASYIKA; WASHAMBULIAJI WAPO MAKINI BRAZUCA

Stephano Asangalwisye Mwasyika (kulia) akiichezea timu yake ya Ruvu Shooting msimu uliopita Na Baraka Mbolembole Mlinzi wa zamani wa klabu ya Yanga SC na timu ya...

ANDREA PIRLO, MIAKA 35 NA KIPAJI KIKUBWA CHA KUPIGA PASI

 Na Baraka Mbolembole Alitawala nafasi ya kiungo na baadae akamsaidia mshambuliaji Mario Balotelli kufunga goli la ushindi kwa timu yake. Andrea Pirlo ‘ pass master’...

JICHO LANGU LA TATU; UJERUMANI ITAICHAPA URENO KWA KUTUMIA HISTORIA

Na Baraka Mbolembole Ujerumani ‘ National Eleven’ itakuwa timu ya kwanza kucheza michezo 100 ya fainali za kombe la dunia wakati itakapopambana na Ureno, katika...