MAALIM SEIF AZIBARIKI KMKM NA SHABA NGAO YA JAMII ZANZIBAR

Makamu wa kwanza wa rais wa serikali ya mapinduzi Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na mmoja wa wachezaji wa timu ya soka ya...

MAFUNZO YA TIKETI ZA ELEKTRONIKI UWANJA WA TAIFA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kesho Jumamosi (Septemba 13 mwaka huu) saa 4 asubuhi litaendesha mafunzo ya matumizi ya tiketi za elektroniki...

SIMBA YAKALISHWA 1-0 NA URA UWANJA WA TAIFA

 WEKUNDU wa Msimbazi, Simba sc, wamelala bao 1-0 dhidi ya wakusanyaji mapato wa Uganda, klabu ya URA katika mechi ya kimataifa ya kirafiki iliyomalizika...

RIO FERDINAND NI MCHEZAJI MKUBWA LAKINI ALIONDOKA MUDA MUAFAKA-LUIS VAN GAAL

Rio Ferdinand anatarajia kucheza dhidi ya United siku ya jumapili  RIO Ferdinand aliondoka wakati sahihi Old Trafford, kwa mujibu wa kocha wa Manchester United, Louis van...

ARSENE WENGER ATAPANGA KIKOSI HIKI BAADA YA KUMSAJILI WELBECK?

Mkali mpya: Danny Welbeck akiwa katiika mazoezi ya Arsenal  uwanja wa London Colney leo ARSENE Wenger kesho anawakabili mabingwa watetezi wa ligi kuu soka nchini...

UWANJA ‘ MBOVU’ UTAENDELEA KUWAGHARIMU YANGA SC…

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam,  Yanga ina kikosi kilichojaa wachezaji, ila kuwakosa baadhi ya wachezaji muhimu inaweza kuwa pigo kwa timu hiyo kuelekea mchezo...

HIMID MAO: TULISHINDA KILA TIMU ILA WAKASEMA TUNANUNUA MECHI

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam. Utepe wa ligi kuu ya kandanda Tanzania Bara unataraji kukatwa siku ya Jumapili hii kwa mchezo wa Ngano ya...

MAMBO HAYO! POLISI DAR WAMUOMBEA DUA ANDREY COUTINHO

 Na Baraka Mpenja, Dar es salaam YANGA SC itakutana na Azam fc katika mchezo mkali wa Ngao ya Jamii kuashiria kupenuliwa kwa pazia la ligi...

MBEYA CITY FC v VIPERS FC KIINGILIO 3,000/=

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MCHEZO WA KIRAFIKI WA KIMATAIFA/MABADIRIKO YA KIINGILIO Jumamosi hii kwenye uwanja wa Sokoine kutakuwa na mchezo wa kirafiki kati ya Mbeya...

BREAKING NEWZZ!: OSCAR PISTORIUS AKUTWA NA HATIA YA KUUA, ASUBIRI HUKUMU!

Oscar Pistorius amekutwa na hatia ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp MWANARIADHA  Oscar Pistorius anakabiliwa na kifungo gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kumuua...

SIMBA YAVUNJA REKODI YA YANGA DAR

REKODI zinaonyesha kwamba Simba  haijawahi kushinda kesi ya kumwania mchezaji yeyote kati yake na Yanga au Costal Union kwa takribani miaka 20. Mara kadhaa timu...

BRENDAN RODGERS ACHUKIZWA NA NAMNA ENGLAND WANAVYOMTIBU DANIEL STURRIDGE

Daniel Sturridge atakaa nje ya uwanja kwa wiki tatu baada ya kupata majeruhi katika mazoezi ya England BRENDAN Rodgers ameponda matibabu wanayotoa England kwa mshambuliaji...

RADAMEL FALCAO ATAKA KUTENGENEZA UGWIJI MANCHESTER UNITED

Mapinduzi ya mashetani: Louis van Gaal (katikati) akijiandaa kumtambulisha wachezaji wake wa mwisho katika usajili wa majira ya kiangazi, Radamel Falcao (kushoto) na Daley...

VAN GAAL AWEKA HADHARANI SABABU YA KUMUUZA DANNY WELBECK

Danny Welbeck (wa pili kulia) akicheka na wachezaji wenzake Jack Wilshere (wa pili kushoto) wakati wa kupiga picha ya pamoja ya Arsenal  LOUIS van Gaal...

VIPERS SC KUTUA LEO DAR TAYARI KWA SAFARI YA MBEYA KUWAVAA WAGONGA NYUNDO KESHO...

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MSAFARA wa watu 25 wa timu ya Vipers Sc (zamani Bunamwaya) inayoshiriki ligi kuu nchini Uganda unatarajia kutua leo...

PRISONS WAJICHIMBIA DAR KUSAKA KASI LIGI KUU

 Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MAAFANDE wa Tanzania Prisons wametua Dar es salaam kuendelea na mazoezi ya kujiwinda na mchezo wa ufunguzi wa ligi...