BAFANA BAFANA YASIMAMISHWA NYUMBANI, NIGERIA IKIFUFUA MATUMAINI KUNDI A…

Mshambulizi, Ahmed Musa alifunga mabao mawili wakati, Nigeria ilijitutumua na kuishinda ' timu inayowasumbua kila mara, Sudan Kaskazini' katika mchezo wa kundi A kuwania...

NADIR HAROUB, KELVIN YONDAN WAANZA MAZOEZI KUIVAA SIMBA SC

Kikosi cha kocha Mbrazil Marcio Maximo kimeendelea na mazoezi leo asubuhi katika Uwanja wa Boko Veterani kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom...

EXCLUSIVE: ABDUL MASHINE – MECHI ZA SIMBA VS YANGA HAZIIANGALII MATOKEO YALIYOPITA

www.shaffihdauda.com ilikutana na nahodha wa zamani wa Simba SC, Abdul Mashine na kufanya naye mahojiano marefu. Kuelekea mchezo wa mahasimu wa soka la Tanzania,...

MROPE: HALI MBAYA IMENIKIMBIZA STAND UNITED, WACHEZAJI SITA WAMETIMKA, WENGINE ZAIDI KUFUATA…

Na Baraka Mbolembole Wachezaji sita wa timu ya Stand United wameondoka katika timu hiyo na kurudi ‘ majumbani’ mwao baada ya hali mbaya katika timu...

KUTOKA ‘UWAKALA WA WACHEZAJI’ HADI JELA YA SOKA MIAKA 7, NDUMBARO ‘AMESARITIWA”?

Na Baraka Mbolembole, Soka la Tanzania ni ‘ aibu’ kubwa! Unalichukuliaje suala la Wakili, Damas Ndumbaro kufungiwa kujihusisha na soka kwa muda wa miaka saba?....

KASSIM DEWJI AUNGANA NA VIONGOZI WENGINE WA SIMBA SC HUKO BONDENI KUSIMAMIA KAMBI !

Kassim Dewji akiwa ameketi na Salum Abdallah kambini kwa Simba Sc nchini Afrika Kusini..... Mjumbe wa kamati ya utendaji Said Tully........ Mjumbe wa kamati ya utendaji...

SERENGETI FIESTA DAR – VICTORIA KIMANI AWASILI BONGO

Mwanamuziki wa kimataifa wa Kenya mwenye maskani yake nchini Marekani - Victoria Kimani leo jioni amewasili nchini kwa ajili ya tamasha la Serengeti Fiesta. Victoria...

KAULI YA NDANDA ‘USHINDI NYUMBANI LAZIMA’ YALISHTUA JESH

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam TIMU ya Ruvu Shooting imesema itachukua tahadhali kubwa katika mechi yake ya keshokutwa dhidi ya Ndanda FC kwenye...

KUELEKEA DAR-PACHA: Lipi chaguo bora kati ya Ivo Mapunda na Hussein Shariff katika lango...

Na Baraka Mbolembole, Simba SC imepata ' nafuu' baada ya golikipa wake namba moja, Ivo Mapunda kuanza mazoezi siku ya jana nchini, Afrika Kusini. Ivo...

NADIR HAROUB, KELVIN YONDAN KUWAVAA SIMBA SC.

Na Baraka Mbolembole, Wachezaji wa nafasi ya ulinzi wa kati wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, nahodha, Nadir Haroub na ' patna wake...

TUHUMA ZIMEISAIDIA TAIFA STARS KUANZA KUPATA MATOKEO

  Kila kitu  kinachoudhi maishani ukikipa mtazamo chanya kitakupa faida tu, haijalishi kinaudhi kiasi gani. Rafiki yangu anaitwa Ngosha kule Morogoro alijenga nyumba yake kutoka...

UBINGWA WA EPL LIVERPOOL: BORA NIKISUBIRI KITABU CHA STEVEN GERRARD

Tarehe 27/04/2014, moja ya tarehe mbaya kabisa kwa mashabiki wa Liverpool, moja ya tarehe ambazo zitadumu vichwani mwao, moja ya tarehe ambayo kwa namna...

ANCELOTTI: DI MARIA AMEENDA MAN UNITED KWA UROHO WA FEDHA

Carlo Ancelotti kwa mara ya kwanza amezungumza na kusema kwamba klabu yake ya Real Madrid iliamua kumuuza kiungo wa kimataifa wa Argentina Angel Di...

NGASSA, MSUVA WANOLEWA KUINYONGA SIMBA SC

KOCHA mkuu wa Yanga, Mbrazil, Marcio Maximo amekazania kuwafundisha wachezaji wake namna ya kumiliki mpira, kupiga pasi za uhakika, kushambulia kwa kasi na kujilinda...

RONALDO AWA MWANADAMU WA PILI KUFIKISHA MARAFIKI MILLIONI 100 FACEBOOK

Real Madrid galactico Cristiano Ronaldo amekuwa mwanadamu wa pili na mwanamichezo wa kwanza kufikisha jumla ya mashabiki million 100 kwenye mtandao wa kijamii wa...