TIMU ZILIZOONGEZWA 2015/2016 ZITAPATIKANAJE? MAJIBU YAKE HAYA HAPA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 SAA chache zilizopita, shirikisho la soka Tanzania TFF limetangaza kuwa ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuanzia msimu wa 2015/2016...

MSIMU WA LIGI KUU BARA 2015/2016 TIMU 16, SHERIA WACHEZAJI WA KIGENI…..

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuanzia msimu wa 2015/2016 itakuwa na timu 16 badala ya 14 za sasa. Mabadiliko hayo yamepitishwa na Kamati ya Utendaji...

PELLEGRINI: KITU KIBAYA ZAIDI WATAKACHOFANYA WACHEZAJI WA MAN CITY NI KUWAZA TAYARI WAMECHUKUA TAJI

KOCHA wa Manchester City, Manuel Pellegrini amewaonya wachezaji wake kuwa kitu kibaya watakachofanya ni kufikiria kuwa tayari wameshatwaa ubingwa wa ligi kuu nchini England...

BUSQUETS: ILIBAKI LA LIGA TU NAYO TUMEKOSA

SERGIO Busquets amekiri kuwa matumaini ya Barcelona kutetea ubingwa wao wa La Liga msimu huu yamekwisha baada ya sare ya jana ya mabao 2-2...

MAGWIJI WA SOKA YANGA WATOA DAWA BAADA YA DOMAYO, KAVUMBAGU KUTIMKIA AZAM FC

Na Baraka Mpenja, Dar es Saalam 0712461976 KUFUATIA usajili walioufanya Azam fc kwa wachezaji wawili wa Yanga SC, kiungo mkabaji, Frank Domayo na mshambuliaji wa kati,...

TAIFA STARS YA NOOIJ USO KWA USO NA MALAWI SOKOINE

Na Baraka Mpenja, Dar es Salaam KOCHA mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij anatarajia kuiongoza timu hiyo kwa mara ya kwanza katika mechi ya kirafiki...

POLISI MORO YAWATOSA WACHOVU KUTOKA SIMBA, YANGA, AZAM FC, YATAKA DAMU CHANGA

Na Baraka Mpenja, Dar es Salaam MAAFANDE wa Polisi Morogoro wanahitaji kusajili wachezaji vijana ili kuendana na kasi ya ligi kuu soka Tanzania bara msimu...

ASERNAL WAENDELEZA REKODI YAO YA KUFUZU UEFA KWA MIAKA 17 MFULULIZO BAADA YA EVERTON...

ARSENAL wamefanikiwa kujihakikishia nafasi ya kucheza michuano ya UEFA kwa mwaka wa 17 mfululizo baada ya Everton kuchapwa mabao 3-2 na Manchester City na...

BARCELONA YATOKA 2-2 NA GETAFE CAMP NOU, MARTINO AKUBALI KUBEBA LAWAMA

GERARDO Martino amesema yeye ndiye anatakiwa kulaumiwa kutokana na msimu mbaya wa Barcelona baada ya kulazimisha sare ya mabao 2-2 nyumbani Camp Nou dhidi...

MAN CITY WAING`OA LIVERPOOL KILELENI, WAICHAPA EVERTON 3-2, MAN UNITED YA GIGGS YAPIGWA 1-0

Edin Dzeko akishangilia bao lake MATOKOE YA LIGI KUU SOKA NCHINI ENGLAND LEO ENGLAND: Premier League   14:45 Finished West Ham 2 - 0 Tottenham  17:00 Finished Aston Villa 3 - 1 Hull City 17:00 Finished Manchester United 0 - 1 Sunderland 17:00 Finished Newcastle Utd 3 - 0 Cardiff 17:00 Finished Stoke City 4 - 1 Fulham 17:00 Finished Swansea 0 - 1 Southampton 19:30 Finished Everton 2 - 3 Manchester City BAADA...

ANCELOTTI KUWATUMIA CASILLAS, LOPEZ KWA WAKATI MMOJA, FAINALI UEFA CASILLAS MZIGONI

CARLO Ancelotti amesema ataendelea kuwatumia walinda mlango wake wote, Iker Casillas na Diego Lopez katika mechi zilizosalia za ligi kuu soka nchini Hispania, La...

`MESSI`, MKUDE NGOMA MPAKA 2017 SIMBA, KAMA TIMU INATAKA SAINI ZAO YAKARIBISHWA NA POPPE...

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KAMATI ya usajili ya klabu ya Simba SC inatarajia kukutana jumatatu ya wiki ijayo kujadili ripoti ya kocha mkuu,...

TEGETE: SIBANDUKI YANGA, DOMAYO, KAVUMBAGU WASIWANYIME WATU USINGIZI

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MSHAMBULIAJI wa Yanga SC, Jeryson John Tegete amesema kuwa ataendelea kuitumikia klabu hiyo msimu mpya wa ligi kuu soka...

MREFA YAHIMIZA MASHABIKI KUISHANGILIA TAIFA STARS, UWANJA KAMILI GADO ASILIMIA 95

Na Baraka Mpenja, Dar e salaam CHAMA cha soka Mkoani Mbeya, MREFA kimewaomba mashabiki wa soka mkoani humo kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu ya taifa...

FIFA WAPIGA CHINI OMBI LA FERNANDO KUTAKA KUICHEZEA URENO KOMBE LA DUNIA

SHIRIKISHO la soka duniani FIFA, limetupilia mbali maombi ya kiungo wa Porto, Mbrazil, Fernando kutaka kuichezea timu ya taifa ya Ureno katika fainali za...

KUONDOKA DOMAYO, KAVUMBAGU KWATIA CHUMVI KIDONDA CHA BILIONEA DAVIS MOSHA, AUSHUKIA VIKALI UONGOZI WA...

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 MAKAMU mwenyekiti wa zamani wa Yanga sc, Bilionea, Davis Mosha ameushutumu uongozi wa sasa wa klabu hiyo kushindwa kuwabakiza...

DANIEL STURRIDGE HATARINI KUWAKOSA CRYSTAL PALACE

BRENDAN Rodgers bado anasubiria mshambuliaji wake Daniel Sturridge awe fiti tayari kwa safari ya kuwafuata Crystal Palace katika mchezo muhimu wa ligi kuu nchini...

KUPOROMOKA VIWANGO, NIDHAMU MBOVU YAWAENGUA SITA RUVU SHOOTING

Na Baraka Mpenja, Dar es Salaam KOCHA wa Ruvu Shooting ya Pwani, Mkenya Tom Alex Olaba amewatema wachezaji sita (6) katika kikosi chake na kuagiza...

UEFA YANUKIA KWA ATLETIC BILBAO, YAITANDIKA RAYO VALLECANO 3-0 LA LIGA

KLABU ya Atletic Bilbao amefufua matumaini ya kucheza ligi ya mabingwa barani ulaya msimu ujao baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Rayo...

DEUS KASEKE WA MBEYA CITY FC AMKARIBISHA LOGARUSIC WA SIMBA

Na Baraka Mpenja, Dar es Salaam KIUNGO mshambuliaji wa Mbeya City fc, Deus Kaseke amefungua milango kwa klabu yoyote inayotaka kumsajili kwa masharti ya kumlipa...