SAUT MABINGWA SPORTS XTRA DAY 2014 MWANZA

Mabigwa wa Sports Xtra Day 2014 mkoa wa Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa fainali dhidi ya NMB Mwanza, ambapo...

NDUMBARO KUANIKA MAJINA YA WAGOMBEA UCHAGUZI SIMBA SC

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MWENYEKITI wa kamati ya uchuguzi ya Simba sc, Damas Ndumbaro anatarajia kukutana na waandishi wa habari kesho na kuweka...

UGANDA YAPIGWA 2-0, OKWI, KIIZA WAKICHEZA, MSUMBIJI YACHINJA 5-0

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam LICHA ya Taifa stars kuilaza bao 1-0 Zimbabwe katika mechi ya kwanza ya hatua ya awali kuwania kupangwa hatua...

TIMU HII YA ATLETICO ITAKUMBUKWA DAIMA-CEREZO

RAIS wa Atletico Madrid, Enrique Cerezo amesema kikosi cha sasa cha klabu hii kitakumbukwa daima baada ya kuipiga chini Barcelona na kutwaa ubingwa wa...

TAIFA STARS YAICHAPA ZIMBABWE 1-0, JOHN BOCCO AIBUKA SHUJAA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam BAO pekee la mshambuliaji, John Raphael Bocco `Adebayor` limeipa ushinda taifa Stars dhidi ya Zimbabwe katika mchezo wa raundi...

MASCHERANO: UFALME WA BARCELONA UMEFIKIA KIKOMO

KIUNGO wa Barcelona, Javier Mascherano amekiri kuwa ufalme wa klabu hiyo katika soka la Hispania na Ulaya kwa ujumla umefika kikomo. Wakatalunya walishindwa kutetea ubingwa...

GAURDIOLA: KURITHI MIKOBA YA JUPP HEYNCKES HAIKUWA RAHISI

  PEP Guardiola amekiri kuwa haikuwa kazi nyepesi kurithi mikoba ya Jupp Heynckes katika klabu ya Bayern Munich msimu huu baada ya kocha huyo kushinda...

ZIDANE AWAPA NAFASI UFARASA KUTWAA UBINGWA WA KOMBE LA DUNIA MWAKA HUU

LEJENDARI wa Ufaransa, Zinedine Zidane anaamini timu ya taifa ya nchi hiyo itafanya maajabu katika fainali za mwaka huu za kombe la dunia nchini...

DILI LA RYAN GIGGS KUWA MSAIDIZI WA VAN GAAL LIKAMILIKA….SCHOLES, NEVILLE, BUTT GIZA NENE

  Ryan Giggs  amekubali kuwa msaidizi wa  Louis van Gaal,  Manchester United. RYAN  Giggs yuko tayari kukubali ofa ya Louis van Gaal kuwa msaidizi wake...

NSSF YAAHIDI NEEMA YA MAFAO KWA WACHEZAJI WA LIGI KUU TANZANIA

Mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF) umeahidi kuwa wachezaji wa timu za ligi kuu kuanzia mwakani watajiunga na mfuko huo ili kuweza kuwapa na...

WATU HAWAJALALA MJINI MADRID BAADA YA ATLETICO KUTWAA UBINGWA WA LA LIGA

FUNIKA mbaya! maelfu ya mashabiki wa Atletico Madrid wameshangilia usiku kucha baada ya timu yao kubeba ubingwa wa La Liga kwa mara ya kwanza...

WENGER BAADA YA KUBEBA `NDOO` YA FA ASEMA HANG`ATUKI ASERNAL

KOCHA wa Arsenal, mfaransa,  Arsene Wenger sasa anatarajiwa kusaini mkataba mpya baada ya kufuta ukame wa miaka 9 bila kombe kufuatia kutwaa ndoo ya...

NYOTA WA TP MAZEMBE, MBWANA SAMATA, THOMAS ULIMWENGU WAJIUNGA TAIFA STARS

Na Boniface Wambura, Dar es  salaam Wachezaji Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wametua Dar es Salaam leo (Mei 17 mwaka huu) mchana, na kujiunga moja...

ATLETICO MADRID WABEBA NDOO YA LA LIGA 2013/2014

ATLETICO Madrid ndio mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Hispania, maarufu kwa jina La Liga baada ya kulazimisha sare ya 1-1  na Barcelona Uwanja...

ASERNE WENGER APUMUA, AIONGOZA ASERNAL KUTWAA TAJI LA FA

BAO la dakika ya 108 la Aaron Ramsey limeipa Arsenal ubingwa wa Kombe la FA baada ya kuichapa Hull City 3-2 ikitoka nyuma kwa...

TAIFA STARS WAKIZINGATIA MAMBO HAYA 10 WATAWAPIGA VIDUDE ZIMBABWE TAIFA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam Tel: 0712461976 ZIMEBAKI saa chache kuwapokea washambuliaji wawili wa Tanzania wanaocheza soka la kulipwa katika klabu ya TP Mazembe ya...

CHELSEA? MAN UNITED? AU BAYERN MUNICH? SOMA NI KLABU GANI YA ULAYA INAYOONGOZA KWA...

Ardhi ya nyumbani: Beki wa Brazil ,  David Luiz ni miongoni mwa wachezaji  18 wa Chelsea wanaotarajia kushiriki kombe la dunia mwaka huu na...

HABARI MBAYA KWA REAL MADRID, BARCELONA: SUAREZ HANG`ATUKI LIVERPOOL, ADAI ANA FURAHA KUBWA ANFIELD

+4  Mshambuliaji Luis Suarez amesema hana mpango wa kuondoka Liverpool licha ya kutakiwa na vigogo wa La Liga, Real Madrid na Barcelona MSHAMBULIAJI Luis Suarez amesema anapenda...

MATAJIRI WA CONGO, TP MAZEMBE WACHARAZWA 1-0 NA EL HILAL YA SUDAN

Na Baraka Mpenja MIAMBA ya soka nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, TP Mazembe imepigwa kidude kimoja kwa yai dhidi ya El Hilal Omdurani...

MESSI AKUBALI KUMWAGA WINO BARCELONA, SASA AMDONDOSHA RONALDO KWA MKWANJA

LIONEL Messi amekubali kusaini mkataba mpya katika klabu yake ya Barcelona na kuwa mchezaji anayelipwa zaidi duniani ambapo atakuwa anavuta mkwanja wa paundi milioni...