BAADA YA SULUHU NA HONDURAS, GERRARD AMJIA JUU MWAMUZI WA MTANANGE HUO

NAHODHA wa England, Steven Gerrard amesikitishwa na kiwango kibovu cha mwamuzi katika suluhu waliyoipata jana dhidi ya Honduras ikiwa ni mechi ya kulipashia kombe...

JICHO LANGU LA TATU; KUNA UMUHIMU WA KUACHANA NA KAMATI ZA USAJILI

Na Baraka Mbolembole Fundi ni mwenye mali au mjenzi?. Siku kadhaa zilizopita, mshambuliaji wa klabu bingwa ya Tanzania Bara, Azam FC, Muivory Coast, Kipre Tcheche...

TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA KANALI MWANAKATWE

Rais wa TFF, Jamal Malinzi Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wake (wakati huo ikiitwa FAT),...

SCOLARI: KUZOMEWA SIO TATIZO KWA BRAZIL

KOCHA Luiz Felipe Scolari amesema kitendo cha mashabiki kuwazomea wachezaji wa tiimu ya Taifa ya Brazil katika ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Serbia...

MARCO REUS APATA MAJERUHI MBAYA UJERUMANI IKISHINDA 6-1, HATARINI KUZIKOSA FAINALI ZA KOMBE LA...

Hoi : Kiungo wa Ujerumani,  Marco Reus akiwa ameshika kifundo chake cha mguu wa kushoto baada ya kuumia katika mchezo dhidi ya Armenia  Reus akitibiwa...

BRAZIL 1 vs 0 SERBIA: FRED AWAOKOA, LAKINI MASHABIKI WAZOMEA KIWANGO `MBOFU MBOFU` YA...

 Aliwaokoa: Fred aliifungia bao pekee Brazil katika pasha pasha ya kombe la dunia  Fred akichukua mpira katika dakika ya 58 na kufunga bao kwenye uwanja...

MWEGANE YEYA AAHIDI MAKUBWA TAIFA STARS, AMSHUKURU MUNGU KWA KUITWA NA MART NOOIJ

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MSHAMBULIAJI hatari wa Mbeya City fc, Mwegane Yeya amefurahishwa na kitendo cha kuitwa katika kikosi cha timu ya taifa...

ROBIN VAN PERSIE ATAMBA KUWA FITI ASILIMIA 100 , KOSI LATUA KISHUJAA RIO de...

 Kamera ziko na wewe tu: Robin van Persie akipigwa picha wakati Uholanzi wakiwasili  katika hoteli yao mjini Rio de Janeiro. BAADA ya kuwasili Rio de...

PIGO UFARANSA!, RASMI! FRANK RIBERY KUZIKOSA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA BRAZIL

NYOTA wa Ufaransa, Franck Ribery atakosa fainali za kombe la dunia baada ya kushindwa kupona majeruhi yake ya mgongo. Ribery pamoja na kiungo wa Lyon ...

PANONE FC YAPOKELEWA KISHUJAA MKOANI KILIMANJARO

Msafara wa magari ukiongozwa na mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro, Goodluck Mushi wakipita katika maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi mara...

JULIAS KISARAWE KUVURUMISHIANA MAKONDE DHIDI YA MORO BEST JUN 7

Bondia Julias kisarawe kesho anategemea kupanda ulingoni kuzipiga na Hassan kiwale "Morobest"  katika ukumbi wa Friends Corner Manzese jijini Dar es salaa. Pambano hilo...

SHUJAA GEBO PETER KUZIKWA KESHO, TFF YAMLILIA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mchezaji wa zamani wa timu ya Simba na Taifa Stars, Gebo Peter...

WANANDINGA UHOLANZI TABASAMU TUPU…WAKWEA PIPA KUELEKEA BRAZIL

WACHEZAJI wa kikosi cha timu ya taifa ya Uholanzi kinachokwenda kushiriki kombe la dunia 2014 nchini Brazil mwaka huu walionekana wenye tabasamu kubwa wakati...

JOSE MOURINHO AVUTIWA NA FABREGAS, PIQUE ASEMA `DILI` LIMEKAMILIKA KWA PAUNDI MILIONI 26.8

KOCHA `mbwatukaji` Jose Mourinho amekiri kuwa Chelsea inavutiwa kumsajili Cesc Fabregas kutoka klabu ya FC Barcelona, huku mchezaji mwenzake wa Hispania Gerard Pique amesema...

TFF: HATUJAFUTA MATUMIZI YA TIKETI ZA ELEKTRONIKI

Na Boniface Wambura, Dar es salaam Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea taarifa za kutolewa wito bungeni wa kulitaka litumie tiketi za elektroniki...

TAIFA STARS YA MART NOOIJ KUINGIA KAMBINI JUNI 11

Na Boniface Wambura, TFF Kikosi cha Taifa Stars kinaingia tena kambini Jumatano (Juni 11 mwaka huu) ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mechi ya raundi...

Mkataba mnono wa Milioni 360 za Binslum Kuinogesha Mbeya City

Kampuni ya Bin Slum Tyre Company Limited leo imeingia mkataba rasmi wa kuidhamini timu ya soka ya Mbeya City Council ya jijini Mbeya katika...

KAMPUNI YA BINSLUM TYRES LTD KUIDHAMINI MBEYA CITY KWA MILIONI 360.

Hotuba ya Mkurugenzi wa Binslum Tyre Company Ltd, Ndugu Mohamed Binslum siku ya utiaji sahihi mkataba wa udhamini wa Timu ya Mpira wa Miguu...

ZAHORO PAZZI: LOGARUSIC HATAFIKA POPOTE KWENYE KAZI YAKE

NA Baraka Mbolembole .Kiungo mshambuliaji wa timu ya Simba SC, Zahoro Pazzi amefunguka na kusema kuwa hatosaini klabu yoyote kama Simba itasitisha mkataba wake kama...

JICHO LANGU LA TATU; NAMSUBIRI KWA HAMU MARCIO MAXIMO YANGA AFUFUE VIPAJI VILIVYOPOTEA

Na Baraka Mbolembole MARCIO MAXIMO alikuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwa muda wa miaka minne. Kuanzia, juni, 2006 hadi...