MICHAEL WAMBURA RUFANI YAKE YAWA MOTO, MPAKA SASA NGOMA NZITO..

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 MUDA wowote kutoka sasa bomu la Michael Richard Wambura linaweza kulipuka baada ya taarifa za ndani kueleza kuwa mvutano...

WACHEZAJI AMBAO TUTAKOSA KUONA VIPAJI VYAO KWENYE WORLD CUP.

Matija Nastasic (Manchester City and Serbia) Gareth Bale (Wales and Real Madrid) Daniel Agger (Liverpool and Denmark) Zlatan Ibrahimovic (Paris Saint-German and Sweden) Branislav Ivanovic (Chelsea and Serbia) Petr...

MATUKIO YALIYOWAHI KUSHANGAZA KATIKA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA

NA BARAKA MBOLEMBOLE KWA  MSAADA WA  MTANDAO SIKU YA Alhamis wiki hii, michuano ya 20 ya fainali za kombe la dunia itakata utepe wake nchini...

EDEN HAZARD `ASILIMIA 100` KUBAKIA CHELSEA, AANZA MAZUNGUMZO YA MKATABA MPYA

Eden Hazard amedai kuwa kwa `asilimia 100` atabakia Chelsea na amethibitisha kuanza mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya.  Kocha wa Paris Saint Germain, Laurent Blanc alisema...

NEYMAR AITETEMESHA BRAZIL NZIMA, LAKINI MAMBO YAWA SHWARI KABISA….

BRAZIL nzima jana ilizizima baada ya nyota wake kupata majeruhi ya kifundo cha mguu katika mazoezi na hofu kubwa kundanda juu ya ushiriki wake...

RUVU SHOOTING YAWAJIA JUU WACHEZAJI WANAOIPONDA, WASEMA DHAMIRA NI UBINGWA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MAAFANDE wa Ruvu Shooting wamedhamiria kufanya maajabu katika msimu wa 2014/2015 wa ligi kuu soka Tanzania bara unaotarajia kuanza...

WAMBURA, WAMBURA……NGOMA NZITO, MAAMUZI YA MWISHO JIONI YA LEO

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 KAMATI ya rufani ya shirikisho la kandanda Tanzania, TFF chini ya mwenyekiti wake, mwanasheria Julius Lugaziya leo mchana inaendelea...

MAKINDA WA KIBONGO, AMBUNDO, SHIZA WATESA UHOLANZI

Na Boniface Wambura, Dar es salaam Wachezaji wa Tanzania walioko Uholanzi, Dickson Ambundo na Shiza Yahya wameanza kuonekana muda na waandaaji ya mashindano ya AEGON...

MKUU WA WILAYA YA KIBONDO AONGOZA MAPOKEZI YA BONDIA IBRAHIMU CLASS `KING CLASS MAWE’...

 Bondia Ibrahimu Class “King Class Mawe ” kushoto akiwa na promota wa kimataifa Jay Msangi ‘Jiwe Gumu’ baada ya kutua nchini wakitokea...

KANALI MWANAKATWE KUZIKWA LEO BABATI

Na Boniface Wambura, Dar es salaam Maziko ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wakati huo likiitwa FAT, Kanali mstaafu...

KARIA KUFUNGUA KOZI YA MAKOCHA LEO

Na Boniface Wambura, Dar es salaam Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia atakuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa...

CLARENCE SEEDORF KITUMBUA CHAINGIA MCHANGA SAN SIRO, ANZAGHI APATA ULAJI

AC Milan amemtimua kazi kocha wake mkuu, Clarence Seedorf na kumteau Filippo Inzaghi kuwa kocha mpya wa klabu hiyo. Mholanzi, Seedorf  alifika San Siro mwezi...

WACHEZAJI ENGLAND KWA KUPUNGA UPEPO HAWAJAMBO, WAITEKA BICHI MJINI RIO

 Wanazingirwa: Nyota wa England,  Daniel Sturridge na Chris Smalling wakizungukwa na mashabiiki walipokuwa bichi jana mjini Rio.    WACHEZAJI wa timu ya taifa ya England kama...

MPENZI WA FABREGAS AMWAGA MCHELE HADHARANI KUHUSU `BASHA` WAKE KUHAMIA CHELSEA, ASEMA ATAMKUMBUKA `DEMU`...

HATIMA ya baadaye ya Cesc Fabregas katika klabu yake ya Barcelona bado haijulikani na kuna uhakika kuwa kiungo huyo atachagua kwenda Chelsea, lakini sio...

AZIM DEWJI NI ATHARI YA KWANZA KWA SIMBA SC KIMATAIFA, WAFADHILI, WAFANYABIASHARA WABAYA HAWATAKIWI...

Na Baraka Mbolembole Simba SC imetawaliwa na wafadhili/wafanya biashara wabaya kwa muda mrefu sasa. Unyonge wao katika mambo ya kiuchumi ni matokeo ya athari ya...

TP MAZEMBE YAILAZA 1-0 ZAMALEK NA KUSHIKA UONGOZI WA KUNDI A

Na Baraka Mpenja TP MAZEMBE jana imefanikiwa kuilaza bao 1-0 Zamalek ya Misri katika mchezo wa kundi A wa ligi ya mabingwa barani Afrika kwenye...

CASTLE LAGER PERFECT SIX YAPATA WAWAKILISHI WA KWANZA FAINALI ZA TAIFA

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Mashariki, Julius Nyaga kushoto akimkabidhi kombe nahodha wa timu ya Schalke 04 ya...

WAMBURA KIKAANGONI KESHO, NANI KUSHINDA KATI YAKE NA NDUMBARO?, WANACHAMA TULIENI KUSIKILIZIA

Na Baraka Mpenja, Dar es saaam 0712461976 KAMATI ya Rufani ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inakaa kesho Jumatatu (Juni 9 mwaka...

MBEYA CITY FC ZITENDEENI HAKI MILIONI 360 ZA BINSLUM, FANYENI HAYA KUKIMBIA `USWAHILI` WA...

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 MBEYA CITY FC kwa mara ya kwanza imepata udhamini wa mamilioni ya fedha baada ya Kampuni ya Binslum Tyre...

ROY HODGSON: BILA WASIWASI, ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN ATAKUWA FITI KOMBE LA DUNIA

BOSI wa England , Roy Hodgson amesema bila kupepesa macho, Alex Oxlade-Chamberlain atakuwa fiti kucheza fainali za kombe la dunia kuanzia wiki ijayo nchini...