KUELEKEA , SIMBA SC V YANGA SC; IFAHAMU HISTORIA YA KIUNGO UHURU SULEIMANI

Kila binadamu huwa na matarajio yake, Mungu humpa mtu kipaji Fulani ili kiweze kumsaidia kundesha maisha yake kwa haki na usawa. Tayari ulimwengu una...

NJE YA LIGI KUU, SIMBA SC NA YANGA SC WALIPOKUTANA, HAYA NDIYO MATOKEO YA...

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Ukiachana na michezo ya ligi kuu Tanzania Bara, klabu za Simba SC na Yanga michezo baina ya timu hizo...

ERASTO NYONI NDIYE MWANASOKA BORA WA TUZO ZA TASWA…..

Erasto nyoni akipokea tuzo yake.... Francis Cheka akipokea tuzo ya bondia bora kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Mecky Sadick Rais wa TFF...

PHIRI ASEMA MKUDE HUENDA AKAIKOSA YANGA JUMAMOSI

Na Waandishi Wetu KOCHA Mkuu wa Simba, Mzambia Patrick Phiri amesema mazoezi ya kesho ndiyo yatakayotoa taswira kama kiungo mkabaji wa timu hiyo Jonas Mkude...

Champions League: STORI KALI KWENYE HATUA YA MAKUNDI.

Michuano ya Champions League hatua ya makundi imemalizika rasmi hapo siku ya jumatano huku Manchester City ikifanikiwa kufuzu hatua ya 16 bora kwa kishindo...

BREAKING NEWS! KIIZA OUT YANGA!!!

Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika ambazo mtandao wa www.shaffihdauda.com umezipa hivi punde, klabu ya Yanga ipo mbioni kukatisha mkataba na mshambuliaji Hamis Kiiza raia...

KPAH SEAN SHERMAN AFAULU VIPIMO VYA AFYA YANGA…..

Mshambuliaji mpya wa Yanga raia wa Liberia Kpah Sean Sherman amefaulu vipimo vya afya,vipimo hivyo vilisimamiwa Dr Gilbert Kigadye pamoja na Dr Sufiani.

UEFA CHAMPIONS LEAGUE…SASA YAFIKA PATAMU….

Usiku wa Ulaya umekamilika jumatano kuamkia alkhamis ambapo Jijini Roma wenyeji AS Roma ya Italia waliikaribisha Manchester City ya England, mchezo ambapo ulikuwa kama...

Chidi Benz ameyaandika haya kuhusu ishu ya Diamond na Davido, Zitto na MwanaFA ni...

Kuna habari nyingi zinaandikwa sasa hivi kuhusu uhusiano wa Diamond na mwimbaji Mnigeria Davido ambae weekend iliyopita wakati mshindi wa BBA 2014 alipotangazwa kuwa...

DIDIER DROGBA AMUONYESHA FALLY IPUPA UMAHILI WA KUSAKATA RHUMBA…

Mshambuliaji wa Chelsea Didier Drogba alikuwa mgeni mwalikwa kwenye sherehe za tuzo ya mwanamke mwenye mafanikio kwa mwaka 2014 zilizofanyika jijini Paris nchini Ufaransa...

NYOTA WA REAL MADRID WAPATA CHAKULA CHA MCHANA PAMOJA……..

Carlo Ancelotti na Frolentino Perez wakiwa mezani tayari kusubiria msosi...... Kama ilivyo ada ya utamaduni wa klabu ya Real Madrid kukutana kwa ajili ya chakula...

DEJAN STANKOVIC: ‘KAMA HILI BAO ANGEKUWA AMEFUNGA MESSI AU RONALDO BASI LINGEKUWA BAO LA...

Mchezaji wa zamani wa kimataifa toka nchini Serbia Dejan Stankovic amekumbushia bao lake aliloifungia timu yake ya Inter Milan dhidi ya Genoa mnamo mwaka...

HUMUD AJIUNGA NA COASTAL UNION……

Bertha Lumala, Dar es Salaam KIUNGO wa zamani wa Simba na Sofapaka ya Ligi Kuu ya Kenya (KPL), Humud Mohammed Abdulhalim amejiunga na Coastal Union...

HARUNA CHANONGO NA HAMIS THABITI WATUA STAND UTD….

Winga Haruna Chanongo wa Simba na Hamis Thabiti wa Yanga wamejiunga rasmi na Stand Utd ya Shinyanga kwa mujibu wa mkurugenzi wa ufundi wa...