AVEVA, TUPA USO KWA USO, KIWHELO, KABURU, NGOMA `INOGILE` UCHAGUZI SIMBA SC

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WAGOMBEA wawili , Evans Eliez Aveva na Andrew Peter Tupa wamepitishwa kugombea Urais wa klabu ya Simba katika uchaguzi...

CRISTIANO RONALDO AIBEBA MABEGANI URENO, APIGA KROSI ZIKISALIA SEKUNDE TANO WAKIPATA SARE YA 2-2...

  Kitu cha mwisho: Mchezaji wa Ureno aliyetokea benchi,  Varela  akipiga kichwa na kuuzamisha mpira wavuni akiisawazishia nchi yake na kulazimisha sare ya 2-2 katika...

ALGERIA YANUSA 16 BORA KOMBE LA DUNIA, YAITANDIKA KOREA KUSINI 4-2

TIMU ya Taifa ya Algeria imejiweka mazingira mazuri ya kufuzu hatua ya 16 ya kombe la dunia baada ya kuibuka na ushindi mnono wa...

TFF CHINI YA RAIS MALINZI YATINGA BUNGENI NA MIKAKATI YAKE

Na Boniface Wambura, Dar es salaam Uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ukiongozwa na Jamal Malinzi jana (Juni 21 mwaka huu) mjini...

UBELGIJI YAICHAPA URUSI 1-0 NA KUFUZU HATUA YA 16 KOMBE LA DUNIA

Bora kuchelewa kuliko kutofika: Divock Origi akifunga bao lake la ushidni zikiwa zimesalia dakika 2 mpira kumalizika. MCHEZAJI kinda aliyetokea benchi,  Divock Origi ameifungia bao...

NDUMBARO KUANIKA ORODHA YA MWISHO YA WAGOMBEA, KAMPENI ZAANZA KUUNGURUMA!

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KAMATI ya uchaguzi ya klabu ya Simba inatarajia kuanika orodha ya mwisho ya wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi...

KOCHA YANGA SC AMFUATA HANS VAN DER PLUIJM SAUDI ARABIA

Aliyekuwa kocha wa zamani wa Yanga, Mholanzi, Hans Van Der Pluijm (wa kwanza kulia) anatarajia kuungana na Mkwasa (wa pili kulia) nchini Saudia Arabia. Na...

KOCHA JOACHIM LOEW AMRUDISHE MILOSLAV KLOSE KATIKA KIKOSI CHA KWANZA

Na Baraka Mbolembole Mshambuliaji wa Ujerumani, Miloslav Klose alifunga goli lake la 70 katika michezo 133 ya kimataifa ambayo ameiwakilisha nchi yake. Klose alifunga goli...

JICHO LANGU LA TATU: GHANA WANA NAFASI YA KUTINGA HATUA YA 16 BORA

Na Baraka Mbolembole Ghana ' Black Stars' ilicheza soka la kiwango cha juu dhidi ya Ujerumani ' National Eleven'. Kikosi cha kocha mzawa kilikuwa bora...

HODGSON AMUOMBA GERRARD KUICHEZEA ENGLAND FAINALI ZA ULAYA 2016

Utabakia Stevie? Hodgson ana matumaini ya kutompoteza Gerrard.   ROY Hodgson  atajaribu kumshawishi  Steven Gerrard ili aendelee kucheza soka la kimataifa mpaka 2016. Nyota huyo amebaki njia...

BIN SLUM KUINUA SOKA NA KUTANUA SOKO LA BIASHARA

Bin Slum ameidhamini Mbeya City FC kwa kitita cha milioni 360 Na Baraka Mbolembole Kitu kizuri kinajiuza chenyewe popote pale, katika ulimwengu ambao mchezo wa...

WANACHAMA SIMBA MNAJUA WAKATI ULIOPO MBELE YENU?, SASA UTANI TUPA KULE!

Mtadanganyika?: Wanachama wa Simba jiepusheni na siasa nyepesi za wagombea. Tumieni muda kutafakari sera za wagombea. Na Baraka Mpenja, Dar es Salaam 0712461976 SHIRIKISHO la Mpira wa...

NIGERIA WAFUFUA MATUMAINI YA AFRIKA KOMBE LA DUNIA, WAICHACHAFYA BOSNIA 1-0, ASANTE ODEMWINGIE!

 Mshambuliaji wa Nigeria  Peter Odemwingie (kushoto) akifunga bao lake, huku kipa  Asmir Begovic akiwa hana la kufanya.   BAO pekee la mshambuliaji wa Stoke City, Peter...

WANAOPINGA MAAZIMIO YA MKUTANO MKUU DAFTARI LIPO WAZI

Mwenyekiti wa Klabu ya Young Africans Bw Yusuf Manji amesema wanachama wanaopinga maamuzi ya mkutano mkuu uliofanyika Juni Mosi 2014 katika Bwalo la Polisi...

GHANA YAIKOSA UJERUMANI KWENYE MTEGO, YATOKA SARE YA 2-2

 Miroslav Klose amefunga bao lake la  15 akiichezea Ujerumani na kulazimisha sare ya 2-2. TIMU ya Taifa ya Ghana almanusura iibuke na ushindi dhidi ya...

ARGENTINA YAHENYESHWA NA IRAN LICHA YA KUSHINDA 1-0, MESSI APIGA GOLI MATATA

 Furaha: Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi akishangilia bao la ushindi. TIMU ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kupata ushindi wa taabu wa bao 1-0 dhidi ya...

RUKSA UCHAGUZI KUENDELEA SIMBA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya kupokea na kuzingatia maombi ya Simba (barua imeambatanishwa), na kwa kuzingatia Ibara ya 26 ya...

UFARANSA YAIANGAMIZA USWISI KWA KUITANDIKA 5-2 NA KUFUZU HATUA YA 16 KOMBE LA DUNIA

Wachezaji wa Ufaransa wakipongezana baada ya kufuzu hatua ya 16 TIMU ya Taifa ya Ufaransa imeitandika Uswisi mabao 5-2 usiku huu na kufuzu hatua ya...

RAIS MALINZI AWATAKA MAKOCHA KUTUMIA UJUZI WAO

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewataka makocha wa mpira wa miguu wafanyie kazi kwa vitendo mafunzo wanayopata badala...

COSTA RICA HAWANA MASIHARA KOMBE LA DUNIA, WAICHAPA ITALIA 1-0 NA KUFUZU HATUA YA...

 Costa Rica wakishangilia ushindi wao wa bao 1-0 dhidi ya Italia.   TIMU yaTaifa ya Italia maarufu kama Azzuri imeangukia pua usiku huu katika mchezo wa...