PICHA ZA BRAZIL PART 1 : HII ILIKUWA KWENYE MECHI YA ENGLAND VS COSTA...

Hizi ni picha nilizopiga na watanzania ambao tupo huku Brazil kuangalia mechi za kombe la dunia. Hapo juu mimi,katikati ni Chief Financial Contoller wa...

UFARANSA, USWISI MWENDO MDUNDO HATUA YA 16 KOMBE LA DUNIA

 TIMU ya Taifa ya Ufaransa imefuzu hatua ya 16 ya kombe la dunia kama washindi wa kwanza wa kundi E baada ya usiku huu...

EDIN DZEKO APIGA MOJA LA KUONDOKEA KOMBE LA DUNIA BOSNIA IKISHINDA 3-1 DHIDI...

 Ngome imevunjwa: Edin Dzeko alikaa kimya baada ya kuifungia bao la kuongoza   Bosnia na Herzegovina.   MSHAMBULIAJI wa Manchester City aliye kwenye moto, Edin Dzeko ameaga...

NIGERIA YACHAPWA 3-2 NA ARGENTINA, LAKINI YAFUZU HATUA YA 16 KOMBE LA DUNIA

Nyota: Lionel Messi (juu) aliifungia mabao mawili Argentina dhidi ya Nigeria.   TIMU ya Taifa ya Nigeria maarufu kama Super Eagles imefanikiwa kufuzu hatua ya 16...

COASTAL UNION KUKIPIGA NA HANDENI CITY JUMAMOSI DIMBA LA AZIMIO

Na Mwandishi wetu, Tanga WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dr.Abdallah Kigoda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mechi ya kirafiki kati ya timu ya vijana ya...

‘ NYAVU’ ZINATIKISWA ‘ HASWA’ BRAZUCA 2014

Na Baraka Mbolembole Siku ambayo Ujerumani ‘ National Eleven’ ilikuwa ikicheza mchezo wake wa 100 wa fainali za kombe la dunia dhidi ya Ureno, historia...

MARCIO MAXIMO ASAINI MKATABA YANGA SC

KOCHA Mkuu wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Mbrazil,  Marcio Maximo anatarajia kuwasili nchini kesho mchana akitokea kwao kwa ajili...

SMALL BOYS, MSHIKAMANO, PACHOTO ZAPIGWA FAINI RCL

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) zimezipiga faini ya kati ya sh. 300,000 na sh. 500,000 klabu za Mshikamano FC, Pachoto Shooting Stars,...

LUIS SUAREZ MCHEZAJI BORA ALIYEKOSA UBINADAMU…

Na Baraka Mbolembole Falsafa ya utilitarianism inasema kuwa njia bora katika maisha ni kutafuta kuridhisha watu wengine kadri iwezekanavyo na kupima vitendo vya watu watu...

YANGA WAANZA KUJIFUA UFUKWENI WAKIMSUBIRI MAXIMO

Jerryson Tegere baada ya kuongezewa mkataba na timu yake ya Yanga amewasili mazoezini leo. (Picha na ukurasa wa Facebook wa Yanga sc). Nizar Khalfan (kushoto)...

HII NI REKODI YA KOCHA WA YANGA KWENYE KOMBE LA DUNIA

Mchezaji wa zamani Ernie Brandts aliyewahi kuwa kocha wa Yanga anashikilia rekodi ya tofauti sana kwenye mechi za kombe la dunia. Huyu jamaa ni...

EPISODE 10 YA DAUDA IN BRAZIL : HII NDIYO HALI ILIVYOKUWA SIKU AMBAYO MABINGWA...

Watu wanaamini Hispania kuna soka zuri na tamu kuliangalia lakini mpira magoli, hii imewashangaza wengi siku ambayo Hispania walitolewa kwenye mashindano mapema sana. Lakini kawaida...

ULICHEKI HII YA DAUDA TV KUHUSU BIN SLUM NA NDANDA F.C

Kampuni ya Bin Slum imeendelea kutoa udhamini kwenye timu mbalimbali za ligi kuu ya soka Tanzania bara. Hivi sasa ikafika zamu ya kutangazwa dili...

CAMEROON 1 v 4 BRAZIL: NEYMAR APIGA MBILI NA KUFUZU HATUA YA 16

Nyota: Neymar alifunga magoli mawili dhidi ya  Cameroon katika mchezo wa mwisho wa kundi A. TIMU ya Taifa ya Brazil imefuzu hatua ya 16 ya...

MEXICO YAITANDIKA CROATIA 3-1 NA KUFUZU HATUA YA 16 KOMBE LA DUNIA

Mchezaji wa Mexico, Rafael Marquez , wa pili kulia, akiifungia timu yake bao la kuongoza. TIMU ya Taifa ya Mexico imefanikiwa kufuzu hatua ya 16...

UHOLANZI WASHINDA MECHI YA TATU KWA KUICHAPA CHILE 2-0 KOMBE LA DUNIA

LOUIS van Gaal ameiongoza Uholanzi kupata ushindi wa asilimia 100 katika kundi B  baada ya  Leroy Fer na Memphis Depay wakitokea benchi kufunga mabao...

HISPANIA YAPUNGUZA MACHUNGU YA KUTUPWA NJE KOMBE LA DUNIA KWA KUICHAPA AUSTRALIA 3-0

WALIOKUWA mabingwa watetezi wa kombe la dunia, Hispania wamekamilisha ratiba ya kundi lao la B kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Australia. Mabao ya...

RADA ZA FIFA ZAANZA KUCHUNGUZA WAJERUMANI WALIOWABAGUA WAAFRIKA KATIKA SARE YA 2-2 DHIDI YA...

Wamenaswa: Mashabiki wawili waliojipaka rangi nyeusi wakiwa katika pozi kwenye mchezo baina ya Ujerumani na Ghana. SHIRIKISHO la soka Duniani, FIFA linachunguza picha zilizozagaa zikiwaonesha...

BRAZUCA IMEKUWA NGUMU KWA WAWAKILISHI WA ULAYA

Na Baraka Mbolembole Kufikia hatua ya robo fainali katika mjichuano ya kombe la dunia nchini Afrika Kusini miaka minne iliyopita, bara la ulaya lilikuwa na...

ATHUMAN IDD `CHUJI` NA WENZAKE 10 KUTOVAA UZI WA YANGA, RADA ZA USAJILI ZAENDELEA...

Ikiwa dirisha la usajili limeshafunguliwa tangu wiki iliyopita kwa timu mbali mbali kuanza kufanya usajili wa wachezaji na zingine zikianza mazoezi, timu ya Young...