MREFA YAHIMIZA MASHABIKI KUISHANGILIA TAIFA STARS, UWANJA KAMILI GADO ASILIMIA 95

Na Baraka Mpenja, Dar e salaam CHAMA cha soka Mkoani Mbeya, MREFA kimewaomba mashabiki wa soka mkoani humo kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu ya taifa...

FIFA WAPIGA CHINI OMBI LA FERNANDO KUTAKA KUICHEZEA URENO KOMBE LA DUNIA

SHIRIKISHO la soka duniani FIFA, limetupilia mbali maombi ya kiungo wa Porto, Mbrazil, Fernando kutaka kuichezea timu ya taifa ya Ureno katika fainali za...

KUONDOKA DOMAYO, KAVUMBAGU KWATIA CHUMVI KIDONDA CHA BILIONEA DAVIS MOSHA, AUSHUKIA VIKALI UONGOZI WA...

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 MAKAMU mwenyekiti wa zamani wa Yanga sc, Bilionea, Davis Mosha ameushutumu uongozi wa sasa wa klabu hiyo kushindwa kuwabakiza...

DANIEL STURRIDGE HATARINI KUWAKOSA CRYSTAL PALACE

BRENDAN Rodgers bado anasubiria mshambuliaji wake Daniel Sturridge awe fiti tayari kwa safari ya kuwafuata Crystal Palace katika mchezo muhimu wa ligi kuu nchini...

KUPOROMOKA VIWANGO, NIDHAMU MBOVU YAWAENGUA SITA RUVU SHOOTING

Na Baraka Mpenja, Dar es Salaam KOCHA wa Ruvu Shooting ya Pwani, Mkenya Tom Alex Olaba amewatema wachezaji sita (6) katika kikosi chake na kuagiza...

UEFA YANUKIA KWA ATLETIC BILBAO, YAITANDIKA RAYO VALLECANO 3-0 LA LIGA

KLABU ya Atletic Bilbao amefufua matumaini ya kucheza ligi ya mabingwa barani ulaya msimu ujao baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Rayo...

DEUS KASEKE WA MBEYA CITY FC AMKARIBISHA LOGARUSIC WA SIMBA

Na Baraka Mpenja, Dar es Salaam KIUNGO mshambuliaji wa Mbeya City fc, Deus Kaseke amefungua milango kwa klabu yoyote inayotaka kumsajili kwa masharti ya kumlipa...

MALAWI YAWASILI KUIKABILI TAIFA STARS, KIINGILIO BUKU 5 TU

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WAPENZI wa soka jijini Mbeya wanatarajia kuishuhudia timu yao ya taifa ya Tanzania, Taifa stars kwenye uwanja wa kumbukumbu...

MOURINHO AJIBU JEURI YA EDEN HAZARD, ASEMA ASILIMIA 100 HAJITOLEI KUISADIA CHELSEA

 Bosi wa  Chelsea  Jose Mourinho anaamini  Eden Hazard hayuko tayari kujitolea kwa ajili ya timu.  Jose Mourinho amejibu mapigo kwa winga wake Eden Hazard aliyekosoa...

CHAMBUA ASEMA DOMAYO, SURE BOY WATATISHA SAFU YA KIUNGO AZAM

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga SC, Tukuyu Stars na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa stars, Seklojo Johnson Chambua...

MARTINEZ ATAKA SHERIA YA MIKATABA YA MKOPO KWA WACHEZAJI IREKEBISHWE

KOCHA wa Everton, Roberto Martinez ameomba sheria ya wachezaji wa mkopo ifanyiwe marekebisho na kuwaruhusu kucheza dhidi ya klabu walizotoka. Martinez ameweza kuwatumia vizuri wachezaji...

NEYMAR: MIMI NA MESSI NI MASWAHIBA WAKUBWA, HATUNA UGOMVI WOWOTE

MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Mbrazil, Neymar, amesema anafurahia mahusiano yake mazuri na mchezaji mwenzeka wa klabu hiyo, Lionel Messi. Bosi wa Barca, Gerardo Martino Tata ameshindwa...

ZLATAN ATANGAZA KUMALIZIA SOKA LAKE PSG

ZLATAN Ibrahimovic ametangaza kumalizia soka lake katika klabu yake ya Paris Saint-Germain. Nyota huyo mwenye miaka 32 kwa sasa alijiunga na PSG majira ya kiangazi...

MWANASHERIA: USAJILI WA DOMAYO AKIWA KAMBINI HAKUNA KANUNI INAYOKATAZA

Mwanasheria na wakala wa wachezaji wa FIFA, Dkt. Damas Ndumbaro Na Baraka Mpenja, Dar es salaam KUFUATIA uongozi wa Azam fc kumsainisha mkataba wa miaka miwili...

DECO: BARCELONA KUSHUKA KIWANGO KAWAIDA TU

NYOTA wa zamani wa Barcelona, Deco, amesema kushuka kwa kiwango cha klabu hiyo kama klabu bora ya kihistoria duniani ilitarajiwa. Vijana wa Gerardo Martino hawako...

YANGA YAWATULIZA MASHABIKI WAKE, KUONDOKA KWA DIDIER, DOMAYO NI MAPENZI YAO

Frank Domayo amesaini mktaba wa miaka miwili Azam fc TAARIFA KWA VYOMBA VYA HABARI Uongozi wa klabu ya Young Africans unapenda kuwajulisha wanachama wake, wapenzi wa...

BAYERN MUNICH NDIO KLABU BORA KULIKO ZOTE SAYARI HII- JURGEN KLOPP

KOCHA wa Borrusia Dortmund, Jurgen Klopp amesisitiza kuwa Bayern Munich bado ni klabu bora kuliko zote duniani licha ya kutupwa nje hatua ya nusu...

MARTINEZ: HATUWEZI KUWAZAWADIA USHINDI MAN CITY ILI KUWANYIMA LIVERPOOL UBINGWA

KOCHA wa Everton, Roberto Martinez amekanusha taarifa kuwa klabu yake ina mpango wa kuwaachia Manchester City katika mchezo wao wa jamamosi wiki hii ili...

MAYAY: DOMAYO, KAVUMBAGU, AZAM WAMELAMBA MADUME YA KWELI

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam BEKI na nahodha wa zamani wa Yanga SC, Ally Mayay Tembele amesema Azam fc wamelamba madume ya ukweli kutoka...