LUKE SHAW KUTUA MAN UNITED LEO NA KUSAINI MKATABA WA MIAKA MITANO

Kitu kinatua Old Trafford: Luke Shaw anatarajiwa kuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na  Man United kwa dau la paundi milioni 30m leo ijumaa.  Katua: Ander...

OBAMA ASHUHUDIA MAREKANI IKIFUZU HATUA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA AKIWA KWENYE NDEGE YAKE

  Akiwa angani: Obama akitazama mechi ya mwisho ya Marekani dhidi ya Ujerumani akiwa kwenye ndege yake. RAIS wa Marekani, Barack Obama ameonesha jinsi gani kombe...

PICHA 12 KUTOKA UWANJANI KWENYE MECHI YA GHANA VS PORTUGAL

Kama kawaida tumehudhuria mechi ya Ghana vs Portugal na mchezo umeisha kwa magoli 2 kwa 1 ambapo Ureno wameshinda. Hizi ni picha nilizofanikiwa kuzipata...

MAXIMO AWASILI, COUTINHO KESHO

Kocha Mkuu mpya wa Yanga Marcio Maximo (kushoto)akiwa na Afisa Habari Baraka Kizuguto, Katibu Mkuu Beno Njovu na kocha msaidizi Leonadro Neiva mara baada...

SHABIKI WA ARGENTINA AING’ANG’ANIA JEZI YA TANZANIA

Hii ilitokea kwenye mechi ya Nigeria Vs Argentina ambapo shabiki mmoja wa Argentina aling'ang'ania jezi ya Tanzania ilikuwa imevaliwa na mdau Hatibu Mwingi "Bustar"....

EPISODE 11 & 12 DAUDA IN BRAZIL MASHABIKI KUTOKA KILA PANDE YA DUNIA WAPO...

Dauda in Brazil inaendelea na Episode 11 na 12. Kwenye hizi Episode utaona mahijiano ya mashabiki waliosafiri kutoka USA hadi Brazil kuangalia Brazuca na...

DAUDA TV : HII NI TAARIFA MUHIMI KUTOKA AIRTEL KWA WAPENDA SOKA

Kama wewe ni mdau wa soka na unapenda soka basi hii taarifa inakuhusu kutoka Airtel. https://www.youtube.com/watch?v=FsOXJHz8ckk https://www.youtube.com/watch?v=9RA8BFyyv8w

PICHA ZA BRAZIL PART 5 : PICHA KUTOKA KWENYE MECHI YA JANA NA MECHI...

Hapa kuna picha za mechi ya jana ya Ufaransa na picha nyingine. Baadhi ya watu utakaowaona humu ndani kuna watanzania wanaoishi Marekani Florida wamekuja...

PICHA ZA BRAZIL PART 4 : BENDERA ZA TANZANIA ZIPO ZA KUTOSHA KWENYE KILA...

Japokuwa hatupo kwenye kombe la dunia lakini soka bado tunalipenda, kuna watanzania wachache uwanjani lakini tunajitahidi kuwakilisha ipasavyo. Bendera,skafu,jezi zetu full rangi za bendera...

PICHA ZA BRAZIL PART 3 : MSHINDI WA BRAZUKA ALIVYOCHEKI MECHI YAKE YA KWANZA

Lile shindano la Brazuka kumtafuta mshindi wa kuja kuangalia mechi za kombe la dunia limempata mshindi ambaye ni bwana Dotto Madali mwenye T shirt...

PICHA ZA BRAZIL PART 2 : UWANJANI NA NJE YA UWANJA SIKU YA MECHI...

Rangi za timu husika ndio huwa zinasambaa siku ya mechi husika. Kama unavyoona hizo rangi ilikuwa ni kati ya Holland vs Chile.

PICHA ZA BRAZIL PART 1 : HII ILIKUWA KWENYE MECHI YA ENGLAND VS COSTA...

Hizi ni picha nilizopiga na watanzania ambao tupo huku Brazil kuangalia mechi za kombe la dunia. Hapo juu mimi,katikati ni Chief Financial Contoller wa...

UFARANSA, USWISI MWENDO MDUNDO HATUA YA 16 KOMBE LA DUNIA

 TIMU ya Taifa ya Ufaransa imefuzu hatua ya 16 ya kombe la dunia kama washindi wa kwanza wa kundi E baada ya usiku huu...

EDIN DZEKO APIGA MOJA LA KUONDOKEA KOMBE LA DUNIA BOSNIA IKISHINDA 3-1 DHIDI...

 Ngome imevunjwa: Edin Dzeko alikaa kimya baada ya kuifungia bao la kuongoza   Bosnia na Herzegovina.   MSHAMBULIAJI wa Manchester City aliye kwenye moto, Edin Dzeko ameaga...

NIGERIA YACHAPWA 3-2 NA ARGENTINA, LAKINI YAFUZU HATUA YA 16 KOMBE LA DUNIA

Nyota: Lionel Messi (juu) aliifungia mabao mawili Argentina dhidi ya Nigeria.   TIMU ya Taifa ya Nigeria maarufu kama Super Eagles imefanikiwa kufuzu hatua ya 16...

COASTAL UNION KUKIPIGA NA HANDENI CITY JUMAMOSI DIMBA LA AZIMIO

Na Mwandishi wetu, Tanga WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dr.Abdallah Kigoda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mechi ya kirafiki kati ya timu ya vijana ya...

‘ NYAVU’ ZINATIKISWA ‘ HASWA’ BRAZUCA 2014

Na Baraka Mbolembole Siku ambayo Ujerumani ‘ National Eleven’ ilikuwa ikicheza mchezo wake wa 100 wa fainali za kombe la dunia dhidi ya Ureno, historia...

MARCIO MAXIMO ASAINI MKATABA YANGA SC

KOCHA Mkuu wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Mbrazil,  Marcio Maximo anatarajia kuwasili nchini kesho mchana akitokea kwao kwa ajili...

SMALL BOYS, MSHIKAMANO, PACHOTO ZAPIGWA FAINI RCL

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) zimezipiga faini ya kati ya sh. 300,000 na sh. 500,000 klabu za Mshikamano FC, Pachoto Shooting Stars,...

LUIS SUAREZ MCHEZAJI BORA ALIYEKOSA UBINADAMU…

Na Baraka Mbolembole Falsafa ya utilitarianism inasema kuwa njia bora katika maisha ni kutafuta kuridhisha watu wengine kadri iwezekanavyo na kupima vitendo vya watu watu...