COUTINHO AWASILI NA KUSEMA AMEKUJA KUISAIDIA YANGA SC

Afisa Haari wa Young Africans Bw Baraka Kizuguto (kushoto) akiwa pamoja na mshambuliaji mpya Andrey Coutinho mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa...

LUKE SHAW ASAINI MIAKA MINNE OLD TRAFFORD

Luke Shaw amekamilisha dili la usajili la paundi milioni 31.5 katika klabu ya Manchester United BEKI wa kushoto wa England, Luke Shaw amekamilisha usajili katika...

RASMI! MAHAKAMA YARUHUSU UCHAGUZI SIMBA SC KUFANYIKA JUNI 29

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam BAADA ya mizengwe kugubika uchaguzi wa Simba sc , sasa kimeeleweka baada ya mahakamu kuu kuruhusu mchakato huo kuendelea...

COUTINHO NDANI YA DAR, SASA YANGA MAMBO BOMBA!

BAADA ya kocha mpya wa klabu ya Yanga, Mbrazil, Marcio Maximo kuwasili jana nchini pamoja na msaidizi wake Leonadro Martins Neiva , mchana wa...

SIMBA SC YAWAALIKA WANACHAMA, WANAHABARI KUONA MAENDELEO YA UWANJA BUNJU

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam AZAM FC pekee ndio klabu ya Tanzania yenye uwanja wake wa kisasa kwa ajili ya mazoezi, mechi za ligi...

MAMBO YAIVA MSIMBAZI, KAMATI YA NDUMBARO YATOA MAELEKEZO KWA WANACHAMA

Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi wa Simba sc, Wakili, Dkt. Damas Ndumbaro Na Baraka Mpenja, Dar es salaam Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WEKUNDU wa Msimbazi...

GIORGIO CHIELLINI: ADHABU ALIYOPEWA LUIS SUAREZ NI KUBWA MNO, NAMUONEA HURUMA

Tabasamu kubwa: Giorgio Chiellini ameumia na adhabu aliyopewa Suarez kwa kung`ata yeye. BEKI wa Italia, Giorgio Chiellini amefunguka kutokana na adhabu aliyopewa  Luis Suarez kwa...

LICHA YA KUFUNGIWA NA FIFA, NYOMI `BAB KUBWA` YAJITOKEZA KUMLAKI SUAREZ, HADI RAIS WA...

Mashabiki wa Luis Suarez wakiwa uwanja wa ndege kumpokea mshambuliaji wao.    MASHABIKI wa Luis Suarez wamefurika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Carrasco karibu...

MBEYA CITY FC YAKOMAA NA MAKINDA WAPYA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WASHINDI wa tatu wa ligi kuu soka Tanzania bara msimu uliopita, klabu ya Mbeya City fc imeanza zoezi la...

WANA TAMTAM MTIBWA SUGAR USAJILI WAO `MDOGO MDOGO`

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WAKATA miwa wa Mtibwa Sugar wanaendelea kufanya mazungumzo na wachezaji waliopendekezwa na kocha mkuu, Mzalendo, Mecky Mexime ili kurejea...

RATIBA HATUA YA 16 KOMBE LA DUNIA: NIGERIA, ALGERIA ZAANGUKIA KWA MIAMBA YA ULAYA

 Kitu nyavuni: Mshambuliaji wa Algeria, Islam Slimani akiruka juu na kupiga mpira uliozama golini HATUA ya Makundi ya kombe la dunia linaloendelea kushika kasi nchini...

LUKE SHAW KUTUA MAN UNITED LEO NA KUSAINI MKATABA WA MIAKA MITANO

Kitu kinatua Old Trafford: Luke Shaw anatarajiwa kuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na  Man United kwa dau la paundi milioni 30m leo ijumaa.  Katua: Ander...

OBAMA ASHUHUDIA MAREKANI IKIFUZU HATUA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA AKIWA KWENYE NDEGE YAKE

  Akiwa angani: Obama akitazama mechi ya mwisho ya Marekani dhidi ya Ujerumani akiwa kwenye ndege yake. RAIS wa Marekani, Barack Obama ameonesha jinsi gani kombe...

PICHA 12 KUTOKA UWANJANI KWENYE MECHI YA GHANA VS PORTUGAL

Kama kawaida tumehudhuria mechi ya Ghana vs Portugal na mchezo umeisha kwa magoli 2 kwa 1 ambapo Ureno wameshinda. Hizi ni picha nilizofanikiwa kuzipata...

MAXIMO AWASILI, COUTINHO KESHO

Kocha Mkuu mpya wa Yanga Marcio Maximo (kushoto)akiwa na Afisa Habari Baraka Kizuguto, Katibu Mkuu Beno Njovu na kocha msaidizi Leonadro Neiva mara baada...

SHABIKI WA ARGENTINA AING’ANG’ANIA JEZI YA TANZANIA

Hii ilitokea kwenye mechi ya Nigeria Vs Argentina ambapo shabiki mmoja wa Argentina aling'ang'ania jezi ya Tanzania ilikuwa imevaliwa na mdau Hatibu Mwingi "Bustar"....

EPISODE 11 & 12 DAUDA IN BRAZIL MASHABIKI KUTOKA KILA PANDE YA DUNIA WAPO...

Dauda in Brazil inaendelea na Episode 11 na 12. Kwenye hizi Episode utaona mahijiano ya mashabiki waliosafiri kutoka USA hadi Brazil kuangalia Brazuca na...

DAUDA TV : HII NI TAARIFA MUHIMI KUTOKA AIRTEL KWA WAPENDA SOKA

Kama wewe ni mdau wa soka na unapenda soka basi hii taarifa inakuhusu kutoka Airtel. https://www.youtube.com/watch?v=FsOXJHz8ckk https://www.youtube.com/watch?v=9RA8BFyyv8w

PICHA ZA BRAZIL PART 5 : PICHA KUTOKA KWENYE MECHI YA JANA NA MECHI...

Hapa kuna picha za mechi ya jana ya Ufaransa na picha nyingine. Baadhi ya watu utakaowaona humu ndani kuna watanzania wanaoishi Marekani Florida wamekuja...

PICHA ZA BRAZIL PART 4 : BENDERA ZA TANZANIA ZIPO ZA KUTOSHA KWENYE KILA...

Japokuwa hatupo kwenye kombe la dunia lakini soka bado tunalipenda, kuna watanzania wachache uwanjani lakini tunajitahidi kuwakilisha ipasavyo. Bendera,skafu,jezi zetu full rangi za bendera...