TAIFA STARS 4-1 BENIN; KIWANGO BORA KUTOKA KWA STARS…

Na Baraka Mbolembole Taifa Stars iliongoza kwa mabao 2-0 hadi nusu ya kwanza ya mchezo ilipomalizika, huku kiwango cha timu hiyo kikiwa juu katika umakini....

UFARANSA YAICHAPA URENO NA C.RONALDO AKIWEMO

Mshambulizi Karimu Benzema alifunga bao la mapema na akatengeneza lingine kwa kiungo Paul Pogba katika kipindi cha pili na kuisaidia Ufaransa kuibuka na ushindi...

MABINGWA WA DUNIA UJERUMANI ‘ YACHAPWA’ KWA MARA YA KWANZA NA POLAND

Poland imeifunga UJerumani kwa mara ya kwanza na kukwea juu ya kilele katika kundi la Nne kuwania nafasi ya kufuzu kwa fainali za...

AFCON 2015- ‘ BAFANA BAFANA’ INARUDI KWA KASI , YASHINDA UGENINI

MSUMBIJI INAWEZA KUFUZU AFCON , 2015, MOROCCO IKIENDELEA NA MWENDO HUU Msumbiji imejiweka katika nafasi nzuri ya kuwania tiketi ya kufuzu kwa fainali za Kombe...

TAARIFA KUTOKA TFF……DAMAS NDUMBARO AFUNGULIWA KESI NA KAMATI YA UTENDAJI…..

TAARIFA YA KAMATI YA UTENDAJI YA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA ILIYOKUTANA OKTOBA 11, 2014- DAR ES SALAAM Kikao cha dharura cha Kamati...

WAKATI KEANE AKIMTUKANA – FERGIE AMSIFU KWA KUMUITA KIUNGO BORA ULAYA

By Aidan Charlie Seif Wakati Roy Keane akiendelea kumzungumzia vibaya, usiku wa jana Sir Alex Ferguson jijini Dublin, Ireland kwa ajii ya shughuli ya kijamii. Akiwa...

SIMBA SC YATOA SARE 0-0 NA ORLANDO PIRATES AFRIKA KUSINI,

SIMBA SC imetoa sare ya bila kufungana na wenyeji Orlando Pirates katika mchezo wa kirafiki asubuhi ya leo Uwanja wa Rand mjini Johannesburg, Afrika...

BRAZIL v ARGENTINA – MESSI NA DI MARIA VS NEYMAR NA OSCAR

Na Baraka Mbolembole, Mechi kubwa zaidi barani Amerika Kusini ni ile inayowahusisha ' mabingwa mara saba wa jumla wa kombe la dunia', nazungumzia Brazil, mabingwa...

CHIELLINI ‘ ATUPIA’ MBILI, AZURRI WAKIENDELEZA ‘ MOTO’

Mlinzi, Giorgio Chiellini alifunga mara tatu na kuisaidia Italia kushinda mchezo wa pili mfululizo kuwania tiketi ya kufuzu kwa fainali za Ulaya, Euro, 2016,...

GUUS APATA USHINDI WA KWANZA UHOLANZI…

Ikicheza katika uwanja wa nyumbani, Amsterdam Arena, timu ya Taifa ya Uholanzi ' ilishtushwa' na bao la uongozi kutoka kwa wageni, Kazakhstan kupitia kwa...

SNEIJDER AKIRI KUTOLIPWA MISHAHARA YAKE GALATASARY – MKATABA WAKE UNAWEZA KUVUNJWA

Wesley Sneijder ameliambia gazeti la kidachi kwamba Galatasary hawajamlipa kwa muda sasa. Sneijder ambaye kwa sasa yupo kwenye majukumu ya kuitumikia Uholanzi katika mechi...

BENIN YATUA NCHINI TAYARI KUUMANA NA TAIFA STARS JUMAPILI HII

Kikosi cha wachezaji 18 na viongozi 11 wa timu ya Taifa ya Benin, kimetua jijini Dar es Salaam tayari kwa mechi ya Kalenda ya...

NI ISRAEL NKONGO ‘ PILATO’ WA SIMBA SC v YANGA SC, 18 OKTOBA

Na Baraka Mbolembole Wiki moja kabla ya mahasimu wa soka nchini, Simba SC na Yanga SC kukutana katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi...

SANOGO: MIAKA 3 ILIYOPITA NILIKUWA NALALA MITAANI

Akiwa bado hajaifungia goli klabu yake ya Arsenal, Yaya Sanogo amekuwa mtu wa kuchekwa na mashabiki wa klabu yake na timu pinzani, lakini hilo...

ENGLAND YASHINDA TENA, ROONEY BADO BAO MOJA AVUNJE REKODI YA CHARLTON

Mshambulizi wa England, Wayne Rooney anahitaji kufunga bao moja tu ili kufikia rekodi ya ufungaji mabao ‘ wa muda wote’ katika kikosi cha ‘...