Habib Kyombo aongezewa muda wa Mazoezi Afrika Kusini

"Nimepokelewa salama hapa Pretoria. Nina furaha kuwa hapa na kila kitu kinaenda sawa. Jambo la utofauti hapa Afrika Kusini wamewekeza sana na wapo siriazi...

Taarifa kuelekea mtanange wa Burnley Vs Man United

Mchezo wa ligi kuu England kati ya Burnley, dhidi ya Manchester United mchezo huo utapigwa majira ya saa 18:00 kamili jioni kwa saa za...

Dakika 20 kabla ya Burnley vs United, mashabiki wa United kumfanyia jambo hili Ed...

Kuwa kwenye timu kubwa wakati mwingine ni risk, na hivyo ndivyo unavyoweza kuamini kwani mashabiki wa vilabu vikubwa duniani kote hawaamini kama wao wanaweza...

Taarifa kuelekea mchezo wa Cardiff vs Arsenal

Mchezo wa ligi kuu England Cardiff City, dhidi ya Arsenal, mchezo huo utapigwa mapema sana kwa saa za Afrika Mashariki Saa 15:30 jioni Cardiff...

Mourinho afanya mabadiliko kwenye kikosi alichosafiri nacho

  Manchester United imesafiri na baadhi ya wachezaji wake kwenda kufuana na Burnley United wanatarajia kwenda Turf Moor huku wakiwa na rekodi mbaya ya kupoteza michezo...

Mtazamo wa Shaffih Dauda kuhusu ligi kukosa mdhamini na nini kifanyike

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limekiri kwamba hadi sasa haijulikani bingwa wa ligi kuu Tanzania bara atapata zawadi gani baada ya aliyekuwa...

Habib Kyombo yupo Afrika Kusini kwenye majaribio na klabu kubwa nchini humo

Baada ya kung'ara na klabu ya Mbao Fc mshambuliaji Matata Habib Kyombo alinaswa na mabwenyenye wa Singida United kwa mkataba wa miaka mitatu. Msimu wake...

Uongozi wa Alliance watoa rai kwa mashabiki wote

Baada ya Alliance kupoteza pambano lao la jana dhidi ya Prisons ya Mbeya mashabiki wengi wa klabu hiyo na wengineo wamekosa uvumivu na kiwango...

Cristiano Ronaldo anasikitisha sana, anakwama wapi?

Parma 1 Juventus 2, unawaza nini unaposoma ubao wa matokeo unasoma namna hiyo? Moja kwa moja utakimbilia kuuliza Ronaldo amefunga, na jibu la hajafunga...

Rekodi zilizowekwa EPL hii leo, Milner amkuta David Beckham huku Mendy akimkuta Nasri

Brighton 2 Fulham 2. Kwa mara ya kwanza tangu 2014, Andre Schurle amefanikiwa kufunga mechi mbili mfululizo katika ligi kuu ya Uingereza EPL. Aleksandar Mitrovick...

Ronaldo De lima atabiri bingwa wa Uefa msimu huu

Ronaldo ana imani kuwa vilabu vya England vitaleta changamoto kubwa kwa Real Madrid na BarcelonaReal Madrid na Barcelona ni vilabu vyenye vikosi vikubwa na...

Hatimaye Heung Min Son akwepa kwenda kulitumikia jeshi

Kama kuna mwanasoka ambaye leo ilokiwa siku yake kubwa ya furaha baasi ni nyota wa Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya Korea Heung...

As Roma yaendeleza uteja kwa Ac Milan

Klabu ya AC Milan imefanikiwa kuifunga klabu ya Roma mabao 2-1 bao la usiku la Cutrone likawapa Rossoneri alama tatu muhimu. AS Roma wamefanikiwa kushinda ...

Vilabu vya Prisons na Alliance vimetangaza vikosi vyao kuelekea mpambano wao

Kuelekea mchezo wa leo dhidi ya Tanzania Prisons katika uwanja wa Ccm Sokoine kuanzia sa 10:00 jioni, benchi la ufundi limeweka bayana kikosi kamili.1/Said-...

Nani kutwaa tuzo ya kocha bora na mchezaji bora wa Mwezi

Wanaowania tuzo ya kocha bora wa Javi Gracia (WAT) W3 D0 L0 Watford wameshinda michezo yao yote mitatu. Gracia amewekeeza mfumo uliofanya kazi kwa asilimia 100....

Nani anaiyumbisha Singida United?

Kuna wakati mambo hayakai. Yaani hayaendi kabisa. Sio kwa sababu tu huna uwezo ila inatokea tu.Singida United wamesajili wachezaji 14. Bila shaka hiyo ni...

Serena Williams amsambaratisha dada yake

US Open 2018: Serena Williams amefanikiwa kufuzu hatua ya 4 baada ya kumfumua dada yake Venus 2018 US Open Mahali: Flushing Meadows, New York Ilianza tarehe:...

Klabu ya Himid Mao yatoshana nguvu na HARAS EL HODOOD

Leo klabu ya Himid mao ilishuka dimbani kumenyana na HARAS EL HODOOD katika uwanja wao Mubarak International Stadium (Suez). Mchezo huo umemalizika kwa...

Barcelona kuilipa Liverpool milioni €40

Inasemekana kuwa klabu ya Barcona imeanza kupunguza deni wanalodaiwa na klabu ya Liverpool.Klabu ya Barcelona, ilifanikiwa kumnasa kiungo wa Klabu ya Liverpool, kwa kiasi...

Alliance yatamba kulitikisa jiji la Mbeya, yatoa onyo kwa askari magereza

Klabu ya Alliance imesafiri kilometa 909 ambapo ni mwendo wa saa 15 na dakika 8 mpaka jiji la Mbeya kwa ajili ya mpambano wao...