Habari Mpya

Ulimwengu kafanya yake huko Algeria

Thomas Ulimwengu jana aliifungia JS Saoura kwenye mchezo wa ligi ya Algeria (League 1) na kuisaidia kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya DRB...

Shabiki wa Yanga aliye-bet mke amwaga machozi hadharani

Jamaa anaitwa Jimmy aliahdi kukaa uchi Kariakoo huku pia akiwa kaweka ahadi mkewake achukuliwe na shabiki wa Simba endapo Yanga itafungwa. Yanga imepasuka 1-0 mbele...

Tathmini ya mchezo wa watani

Bao la dakika ya 71 la Meddie Kagere, limetosha kuwatenganisha watani wa jadi wa Dar Es Salaam katika mchezo wao wa 102 wa ligi,...

Mabaunsa Simba washikana mashati na waandishi

Zogo limeibuka kati ya waandishi wa habari na mabaunsa wa Simba. Wachezaji wa Simba walitumia mlango unaotumiwa na waandishi wa habari halafu wakawazuia waandishi...

Yanga wanakula hizo…

Kuelekea mechi ya #WataniWaJadi shabiki wa kihindi wa Simba anasema Yanga wanakula 4 leo. Angalia video #YouTube kupitia #DaudaTV bofya PLAY▶kuangalia video mwanzo mwisho hapa...

Mashabiki wa Simba wabeba jeneza Yanga

Vituko vya #WataniWaJadi Mapema tu watu wamebeba jeneza wanaenda kwenye mazishi. #YangaVsSimba #LigiKuuTanzaniaBara Angalia video #YouTube kupitia #DaudaTV bofya PLAY▶kuangalia video mwanzo mwisho hapa chini👇 https://youtu.be/9tcFkzFZwss

Yanga waingia uwanjani kwa style ya aina yake

Kiosi cha Yanga kimewasili kwa style ya aina yake uwanja wa taifa kwa ajili ya mchezo wa watani wa jadi. Yanga wametumia basi dogo...

Eneo gani uwanjani litaamua mechi ya watani wa jadi?

Shaffih Dauda Naiona mechi ikiamuliwa katikati ya uwanja (eneo la midfield) Simba ni timu inayicheza mpira kuanzia nyuma wanapiga pasi na kutawala eneo la katikati. Changamoto...

Geoff Lea anaiangalia Yanga kwa jicho la tatu

Ni vigumu sana kwa mtu anayeangalia mpira na kuufuatilia halafu haendeshwi na hisia anaweza kuipa kuipa nafasi kubwa Yanga kushinda mechi dhidi ya Simba...

Yanga inaingia kama UNDERDOG

Ukiangalia Simba kwa upande wa squad, mwendelezo wa matokeo lakini pia mazingira kuelekea kwenye mechi Simba wametoka kwenye mazingira ambayo inawezekana ikawa ni faida...

Kimataifa

Ulimwengu kafanya yake huko Algeria

Thomas Ulimwengu jana aliifungia JS Saoura kwenye mchezo wa ligi ya Algeria (League 1) na kuisaidia kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya DRB...

Eto’o agoma kustaafu soka

Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon Samuel Eto'o amenukuliwa na mtandao wa BBC akisema, ataendelea kucheza na hana wazo la kustaafu...

Dokumentari

Kitaifa

Ulimwengu kafanya yake huko Algeria

Thomas Ulimwengu jana aliifungia JS Saoura kwenye mchezo wa ligi ya Algeria (League 1) na kuisaidia kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya DRB...
473,622FansLike
169,928FollowersFollow
72,217FollowersFollow

Misimamo ya Ligi

Ratiba za Mechi