Cristiano Ronaldo apewa adhabu kali kwa vitendo visivyo vya kiungwana

Real Madrid jana walikuwepo ugenini kucheza dhidi ya klabu ya Barcelona ambapo waliondoka na ushindi mnene wa mabao matatu kwa moja dhidi ya wenyeje...

‘Kiroho safi, Mzee Kilomoni kaondoe kesi mahakamani, iache Simba iende inapotakiwa…

Na Baraka Mbolembole ILI kufikiriwa kusamehewa na wanachama wengi wa klabu, kwanza Mzee Hamis Kilomoni anapaswa 'kutokwa' na mawazo yake kuwa 'hawezi kuondolewa' katika nafasi...

Diego Costa amponda Antonio Conte huku akimmwagia sifa Jose Mourinho

Diego Costa anakaribia kupata klabu mpya, unaonekana Costa hakutaka kuondoka Chelsea lakini ugomvi wake na kocha Antonio Conte umechangia kwa kiasi kikubwa mshambuliaji huyo...

Real Madrid waitwanga Barca huku Neymar akianza kupasia nyavu

Mchezo mkubwa siku ya leo ulikuwa nchini Hispania ambapo kulipigwa mtanange wa kwanza wa fainali ya Spain Super Cup na ilikuwa El Classico ukiikutanisha...

Romelu Lukaku aiweka Manchester United kileleni huku Samatta naye akifunga mara mbili Genk

Manchester United wamekaa kileleni mwa ligi huku furaha kubwa kwa mashabiki wa klabu hiyo ni kuona nyota wao wawili wapya Romelu Lukaku na Nemanja...

Picha: Misosi bingwa mpya Ndondo Cup 2017

Michuano ya Ndondo Cup msimu wa nne imehitimishwa leo Jumapili August 13, 2017 kwa mchezo wa fainali kati ya Goms United dhidi ya Misosi...

Chelsea kufungwa na Burnley ni habari mbaya, lakini hii hapa ni habari yao mbaya...

Hapo jana Chelsea walikuwa uwanjani wakikabiliana na Burnley ambapo Burnley waliibuka kidedea kwa ushindi wa mabao matatu kwa mbili katika uwanja wa Stamford Bridge. Kipigo...

Shaffih Dauda na Ally Mayay baada ya kushindwa uchaguzi

Baada ya uchaguzi mkuu wa TFF kumalizika na kupata viongozi wapya watakaohudumu kwa miaka minne, wadau wengi wanatamani kusikia chochote kutoka kwa washindi pamoja...

Alichozungumza Julio baada ya kushindwa uchaguzi wa TFF

Kocha Jamhri Kihwelu ‘Julio’ amepigwa chini kwenye uchaguzi wa TFF baada ya kuambulia kura mbili (2) katika kinyang’anyiro cha ujumbe wa kamati ya utendaji...

Wambura baada ya kushinda, Ng’hambi baada ya kushindwa uchaguzi wa TFF

Dauda TV imememnasa mshindi wa nafasi ya makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura ambaye ameshinda kwa kishindo baada ya kupata kura 85 katika...

Jambo la kwanza atakaloanzanalo Rais mpya wa TFF Wallace Karia

Rais mpya wa TFF Wallace Karia amesema, ataanza kwa kufanya marekebisho ya watendaji wa TFF kuanzia muundo lakini pia ameahidi kurebisha mapungufu ya utendaji...

Huddersfield town waitoa Arsenal kileleni EPL, mabingwa watetezi wakidhalilika

Michezo 7 mingine ya Epl imepigwa hii leo ambapo mchezo wa kwanza ulikuwa kati ya Liverpool dhidi ya Watford ambapo mchezo uliisha kwa sare...

Wallace Karia Rais mpya TFF

Matokeo ya uchaguzi mkuu wa viongozi wapya wa TFF yametangazwa rasmi mjini Dodoma baada ya zoezi zima la uchaguzi kukamilika. Rais mpya wa TFF ni...

Video: Dr. Mwakyembe amezungumzia aina ya viongozi wanaotakiwa kuongoza TFF

Leo August 12, 2017 unafanywa uchaguzi mkuu wa TFF ili kuopata viongozi wapya watakaohudumu kwa kipindi cha miaka minne ijayo. Uchaguzi unafanyika mjini Dodoma...

Arsenal waistaajabisha Leicester City huku Lacazette akiweka rekodi ya kwanza Epl

Hakika hiki ndicho kilikuwa kinasubiriwa kwa hamu kubwa sana na mashabiki wa soka, utamu wa ligi ya Epl na leo umeanza kuonekana kwa mechi...

Ubingwa unakwenda Manchester au London?huu ndio utabiri wangu wa Epl 2017/2018

Pazia la ligi kuu nchini Uingereza linafunguliwa rasmi hii leo, mashabiki duniani kote wamekuwa wakisubiria msimu huu kwa hamu kubwa sana kwani timu nyingi...