Uwanja Wa Shanghai Shenhua Ya Tevez Wateketea Kwa Moto.

Klabu iliyovunja rekodi ya usajili kwa kumfanya Carlos Tevez kuwa mchezaji anayelipwa zaidi duniani, Shanghai Shenhua ambayo inashiriki ligi kuu ya nchini China leo...

Hadithi ya Kouyate na Kavumbagu iwaamshe wachezaji wetu mupambane.

"Didier Kavumbangu alienda Ubelgiji kutafuta nafasi ya kucheza, alipofika Ubelgiji alikuwa akipewa nafasi kubwa sana kupata timu ya kucheza lakini bahati mbaya bosi wake/wakala...

Majeruhi yaanza kuitesa Manchester United.

Hali sii hali ndani ya kikosi cha Manchester United kutokana na majeruhi yanayokiandama kikosi hicho, United wako katika mbio za kutafuta nafasi nne za...

Jumanne ya leo, habari kubwa magazeti ya Ulaya.

Daily Star, lenyewe linasema kocha Jose Mourinho ameongea na mchezaji wa Barcelona Neymar kutaka kujaribu kumshawishi atue Manchester United. Erik Lamela anaweza kuhamia Inter...

Maamuzi ya Awadh Juma kuhusu maisha yake ya badae ndani ya Simba

Na Zainabu Rajabu KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Simba Awadh Juma ameibuka na kusema kuwa kwa sasa si mali ya klabu hiyo baada ya kuvunja...

‘Namtaka huyo Samatta wenu’ – Kocha wa Burundi

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Burundi Alain Oliver Niyungeko amesema anataka kukutana na Samatta kwa sababu itakuwa ni kipimo tosha kwa wachezaji...

Farid Musa amekitaja alichosisitizwa na Samatta ili afanikiwe Ulaya

Na Zainabu Rajabu WINGA wa timu ya Tenerife inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Hispania, Farid Musa amesema anashukuru sana sapoti anayopewa na nahodha wa...

Thierry Henry Aitamani Kazi Ya Ukocha Arsenal.

Jina la Thierry Henry ni maarufu kwenye masikio ya mashabiki wa Arsenal kutokana na nguli huyo kufanya makubwa kwenye historia ya klabu hiyo akiwa...

Stars vs Burundi sebuleni kwako live kwa Azam TV

Taifa Stars ya Tanzania kesho Machi 28, 2017 saa 10:00 jioni inaingia tena Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kucheza na Intamba Murugamba ya...

Vilabu Vya La Liga Vyakosekana Kwenye Orodha Ya Wingi Wa Mashabiki Viwanjani.

Inawezekana kabisa vilabu vya Hispania vikawa katika kiwango bora hasa wanaposhiriki michuano ya Ulaya Ubora huu hutakiwa kuchochea kuwepo kwa mashabiki wengi wanaoudhuria michezo...

Wachezaji maarufu walioko katika hatihati kulikosa kombe la dunia 2018.

Gareth Bale. Ni muujiza tu ndio wa kuwavusha Wales kwenda Urusi mwaka 2018, hadi sasa hawajafungwa lakini nafasi yao kufudhu kwa kombe la dunia...

Katibu mkuu CAF abwaga manyanga.

kiwa ni wiki kadhaa tangu Issa Hayatou ashindwe katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa CAF sasa katibu mkuu wa CAF raia wa Morocco Hicham el...

Soka La Basque; Jimbo Linaloleta Mapinduzi Ya Kisoka Hispania.

Katika hali ya ajabu kabisa, lakini ikiwa imesalia miezi miwili La Liga kufikia kikomo msimu huu, timu zote 4 kutoka Basque zipo kwenye kinyang'anyiro...

Ushahidi wa kitakwimu unaonyesha Pogba ni zaidi ya Kante

Umekuwa mwaka wa matukio mengi kwa kiungo wa Manchester United - Paul Pogba. Jambo la kwanza lilimuhusisha na biashara iliyochukua muda mrefu zaidi wakati wa...

Swansea yaviburuza vigogo katika umakini wa penati toka EPL ianzishwe.

Zifuatazo ni idadi ya penati timu za Uingereza zimepata katika historia ya ligi,na idadi ya walizofunga na asilimia za ufungaji. 24.Tottenham Hotspur.Wana 72.6% ya kufunga...

Tetesi “Hazard amalizana na Madrid na ameshapata nyumba”

Habari kubwa leo Uingereza na Hispania ni ya kumhusu Eden Hazard. Ripoti zinasema tayari Real Madrid wameshapiga hatua zaidi kuinasa sahihi ya nyota huyo...