Home Kimataifa Opresheni ya kumsaka sala yafika tamati, picha zilizoonesha eneo linalodhaniwa walifikia

Opresheni ya kumsaka sala yafika tamati, picha zilizoonesha eneo linalodhaniwa walifikia

6169
0

“Ni ngumu sana kumpata mtu akiwa hai kwa sasa. Uwezekano kwa sasa ni mdogo sana. Tumeshazunguka karibia kila eneo ambalo ni karibu na maeneo yanayohisiwa lakini hatufanikiwa. Hatuwezi kutuma tena vifaa vya kuokozi (maboya)” John Fitzgerald mmoja wa waokoaji.

Imepita siku ya 3 sasa, kiuhalisia ni ngumu kuamini kuwa wapo salama. Ni Mungu tu ndiye anayejua wapo wapi.

Yapo maeneo ambayo yametajwa sana kuwa yawezekana kuwa wamefikia eneo hilo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here